Bahasha haihitaji maelewano ya lughaBado watakosolewa kuwa wanatoka Misri,
ingefaa watoke nchi tofauti ikiwa Mmoja anaongea Kiarabu, Kireno, Kizulu na Kifaransa yaaani iwe ngumu kuwasiliana na kupewa bahasha na wenyeji...
NdioHivi hiyo Derby ipo?
Mkuu utamrushia au, si ni muhimu wote kuwa na uelewa wa pamoja juu ya lengo la bahasha. Hapo lugha inatumika nyenzo...Bahasha haihitaji maelewano ya lugha
Hata wangetoka peponi mzee, waliokusudia yao, ni ngumu kuwakwepa.
No visingizio no excuse safari hii