RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Arajiga mbona anafaa!!?waamuzi wa.VAR ni kina nani!!?
Hii ni aibu kwa taifa, Mechi ya ndani kuchezeshwa na marefa wa nje, inapeleka ujumbe gani kwa marefa wa Kitanzania?Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri.
Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed.
Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC imeahirishwa mara mbili rasmi, kwani mchezo huo uliopangwa kufanyika Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, na kuahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB).
Soma: POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025
Mechi hiyo ikapangiwa tena kuchezwa tarehe Juni 15, 2025, ikiwa ni mabadiliko ya kwanza ya tarehe tangu kupangwa kwake awali.
Taarifa ya Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Kwa pressure iliyopo hamna namna, kuepusha mlolongo mbeleni inabidi , timu zote zina mvutano mkubwa mnoHii ni aibu kwa taifa, Mechi ya ndani kuchezeshwa na marefa wa nje, inapeleka ujumbe gani kwa marefa wa Kitanzania?
Mtacheza tu hata Kwa bakoraHata wangetoka mbinguni hatuchezi...
Haipo. Simba hatupeleki team uwanjaniHivi hiyo Derby ipo?
Waamuzi wetu wameonekana ni wala rushwa sana ndo maana wakachukuliwa waamuzi kutoka EgyptMchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri.
Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed.
Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC imeahirishwa mara mbili, kwani mchezo huo uliopangwa kufanyika Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, na kuahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB).
Soma: POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025
Mechi hiyo ikapangiwa tena kuchezwa tarehe Juni 15, 2025, ikiwa ni mabadiliko ya kwanza ya tarehe tangu kupangwa kwake awali.
Taarifa ya Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Baada ya mvutano kuendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo, Rais Samia, alikutana na viongozi wa timu ya Simba na Yanga kwa mazungumzo maalum yaliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Soma: Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025
Mara baada ya kikao hicho, ratiba mpya ya mchezo huo ilipangwa rasmi, ambapo Dabi hiyo inayosubiriwa kwa hamu imepangiwa kuchezwa Jumatano, tarehe 25 Juni 2025.