Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

Sawa. Na jengo jeupe tuwape Wachina
Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri.

Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed.

Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC imeahirishwa mara mbili, kwani mchezo huo uliopangwa kufanyika Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, na kuahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB).

Soma: POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

Mechi hiyo ikapangiwa tena kuchezwa tarehe Juni 15, 2025, ikiwa ni mabadiliko ya kwanza ya tarehe tangu kupangwa kwake awali.

Taarifa ya Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Baada ya mvutano kuendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo, Rais Samia, alikutana na viongozi wa timu ya Simba na Yanga kwa mazungumzo maalum yaliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.

Soma: Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

Mara baada ya kikao hicho, ratiba mpya ya mchezo huo ilipangwa rasmi, ambapo Dabi hiyo inayosubiriwa kwa hamu imepangiwa kuchezwa Jumatano, tarehe 25 Juni 2025.

Simba ni timu ya kimataifa isikubali kutawaliwa na wanasisa.
Hakuna kupeleka timu uwanjani
 
Sisi na ajenda yetu ya siri tukiwa tunasikilizia.

downloadfile-242.jpg
 
Tunaposema mpira unaingiliwa ndiyo mambo kama haya. Unadhani hawa waamuzi wamelipwa na TFF?

Inakuwaje kanuni inayotaka mechi za mwisho kuchezwa pamoja imevunjwa bila sababu eti kisa mechi haibadilishi chochote katika msimamo wa ligi wakati siyo kweli. Mechi inaenda kuamua bingwa inakuwaje unasema haibadili chochote?

Na nina uhakika ikifika kesho utasikia tiketi zimenunuliwa na mtu fulani watu waingie kiwanjani bure.

Mpira wetu kivyetuvyetu.
 
Leteni timu lenu tuwafunge 5imba wagonjwa
Muda wa maneno imekwisha
 
Back
Top Bottom