khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Tetesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unateseka kwa mawazo ya simba[emoji23][emoji23]Mbumbumbu at their own peak, Simba wanachokitafuta watakipata, time will tell
Nyie simba na mashabiki wa simba ni komeo sana, hili wazo mmekurupuka bila kutumia bongo zenu sawa sawaHali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.
Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.
Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu
Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga
Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu
Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
Najitahidi kuwatoa UMBUMBUMBU mlionao kwa kadri ya uwezo wanguWe jamaa unateseka kwa mawazo ya simba[emoji23][emoji23]
Utopolo akili zenu, Luc hakukosea. Swali gani hilo, ujui kua mkataba wa ligi ni timu zote. Mkataba wa maudhui ya simba tofautiNa za Ligi Kuu nazo mtaonyeshea wapi?
Kwani Ligi kuu za ulaya unaangalizia kupitia Azam TV? Fikiria kwanza kabla ujasemaNyie simba na mashabiki wa simba ni komeo sana, hili wazo mmekurupuka bila kutumia bongo zenu sawa sawa
Ni watu wangapi wanauwezo wa kumudu DSTV?
Sasa umbumbu umetoka wapi, maana umeeleza vizuri sana. Na aliyetoa post kwenye tetesi yake amemaanisha hivyoKweli hii ndo maana ya Mbumbumbu
Mtu hajui kama Right for live broadcasting za mechi ya ligi kuu hapa nchini anayo Azam TV kwa miaka 10 na tena for billions of money na mkataba huo anaingia TFF na sio club
Mtu hujui kama Azam TV wameingia mkataba na Yanga wa media right coverage yaani press conference, matamasha yao ya wananchi, utambulisho wa wachezaji, mechi za away na home za champions league before group stage, na Kila kitu kinachohusu media ni haki ya Azam TV kwa miaka kumi.
Na hii ndo tumeona Azam TV wamekuwa wakihusika kutambulisha wachezaji wapya wa Yanga kwa tukio la Live.
Na hapa tumeona Yanga wakiondoka na mtangazaji wa Azam TV huko kambini Morroco kwa lengo la kufanya media coverage ya kila kitu kitakachotokea kule
Press conference zote ni haki yao kwenda live na chombo kinachohitaji kwenda live ni lazima anunue haki hizo za matangazo kutoka kwa Azam TV,
Ila sasa upande wa Simba SC wenyewe hawana mkataba wa aina hiyo na Azam TV wakidai pesa iliyowekwa kwa ajili ya kununua haki hizo ni ndogo sanaa na hawezi kupewa haki sawa na Yanga
Nyani anaenyonyesha,anapojitahidi kumshauli mfalme wa nyika mnyama Simba jinsi ya kuwinda,angalia sana wewe nyani nyama yako ni tamu kwa Simba utaliwa wewe na vinyani vyako unavyo nyonyesha.Mbumbumbu at their own peak, Simba wanachokitafuta watakipata, time will tell
Watapata kipi ?Mbumbumbu at their own peak, Simba wanachokitafuta watakipata, time will tell
Wajnajitekenya na kucheka wao wenyewe.Na za Ligi Kuu nazo mtaonyeshea wapi?
Au Kuruka Mkoji na Kukanyaga Mavi.Hapo ni sawa na kuziba mbele huku nyuma kupo wazi
Mkuu usihangaike, ila kumbuka tu kuwa Rage ni jiniasi sana, hawa jamaa wanahitaji msaada wa Madocta wa MilembeCAF Champions league SuperSport ndie alienunua haki ya kuonyesha mechi zote kuanzia hatua ya Makundi sio kama Simba ndio kaamua hivyo.
Hana Akili huyo MbuMbuMbu.CAF Champions league SuperSport ndie alienunua haki ya kuonyesha mechi zote kuanzia hatua ya Makundi sio kama Simba ndio kaamua hivyo.
Nyie mumeshipata, wachezaji wenu wote wameshapachikwa mimba huko MoroccoMbumbumbu at their own peak, Simba wanachokitafuta watakipata, time will tell
Rudia tena kusoma ulichoandika ww mbumbumbuNyie mumeshipata, wachezaji wenu wote wameshapachikwa mimba huko Morocco
Sawa mbumbumbuNyani anaenyonyesha,anapojitahidi kumshauli mfalme wa nyika mnyama Simba jinsi ya kuwinda,angalia sana wewe nyani nyama yako ni tamu kwa Simba utaliwa wewe na vinyani vyako unavyo nyonyesha.
Ligi ya tanzani na ulaya ipi watu wanaangalia zaidi kwama sio ya bongo?Kwani Ligi kuu za ulaya unaangalizia kupitia Azam TV? Fikiria kwanza kabla ujasema
safi sana. simba sasa inatakiwa kuonekana duniani