Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

Mbumbumbu at their own peak, Simba wanachokitafuta watakipata, time will tell
 
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.

Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.

Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu

Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga

Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu

Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
Nyie simba na mashabiki wa simba ni komeo sana, hili wazo mmekurupuka bila kutumia bongo zenu sawa sawa

Ni watu wangapi wanauwezo wa kumudu DSTV?
 
Kweli hii ndo maana ya Mbumbumbu

Mtu hajui kama Right for live broadcasting za mechi ya ligi kuu hapa nchini anayo Azam TV kwa miaka 10 na tena for billions of money na mkataba huo anaingia TFF na sio club

Mtu hujui kama Azam TV wameingia mkataba na Yanga wa media right coverage yaani press conference, matamasha yao ya wananchi, utambulisho wa wachezaji, mechi za away na home za champions league before group stage, na Kila kitu kinachohusu media ni haki ya Azam TV kwa miaka kumi.

Na hii ndo tumeona Azam TV wamekuwa wakihusika kutambulisha wachezaji wapya wa Yanga kwa tukio la Live.

Na hapa tumeona Yanga wakiondoka na mtangazaji wa Azam TV huko kambini Morroco kwa lengo la kufanya media coverage ya kila kitu kitakachotokea kule

Press conference zote ni haki yao kwenda live na chombo kinachohitaji kwenda live ni lazima anunue haki hizo za matangazo kutoka kwa Azam TV,

Ila sasa upande wa Simba SC wenyewe hawana mkataba wa aina hiyo na Azam TV wakidai pesa iliyowekwa kwa ajili ya kununua haki hizo ni ndogo sanaa na hawezi kupewa haki sawa na Yanga
Sasa umbumbu umetoka wapi, maana umeeleza vizuri sana. Na aliyetoa post kwenye tetesi yake amemaanisha hivyo
 
Mbumbumbu at their own peak, Simba wanachokitafuta watakipata, time will tell
Nyani anaenyonyesha,anapojitahidi kumshauli mfalme wa nyika mnyama Simba jinsi ya kuwinda,angalia sana wewe nyani nyama yako ni tamu kwa Simba utaliwa wewe na vinyani vyako unavyo nyonyesha.
 
Na za Ligi Kuu nazo mtaonyeshea wapi?
Wajnajitekenya na kucheka wao wenyewe.

SuperSport hao hao walioshindwa kuonyesha KPL kwa changamoto ya pesa, leo ndio ikatoe dau nono kwa Simba (tena mechi 4 tu za CAFCL). Hahahaha
 
CAF Champions league SuperSport ndie alienunua haki ya kuonyesha mechi zote kuanzia hatua ya Makundi sio kama Simba ndio kaamua hivyo.
Mkuu usihangaike, ila kumbuka tu kuwa Rage ni jiniasi sana, hawa jamaa wanahitaji msaada wa Madocta wa Milembe
 
Nyani anaenyonyesha,anapojitahidi kumshauli mfalme wa nyika mnyama Simba jinsi ya kuwinda,angalia sana wewe nyani nyama yako ni tamu kwa Simba utaliwa wewe na vinyani vyako unavyo nyonyesha.
Sawa mbumbumbu
 
Jamaa unamkosea sana Mola wako unakosea sana kumuita binadam mwenzako jina la kifedhuli kumbuka hata ww utakuja kuwa na watoto nakushaur edit hilo neno lako
 
safi sana. simba sasa inatakiwa kuonekana duniani

Dunia gan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af kuna majinga yanajuaga dstv iko labda na ulaya [emoji23][emoji23][emoji23] we fala dstc ni Africa kusini mwa jangwa la sahara pekeee hata kule juu kwa warabu haipo
 
Back
Top Bottom