Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

nani kakwambia sipendi kusikia..?, nani kakwambia kuna kinacho nikwaza..?, Pepsi ipo, Azam Cola ipo, Mo cola ipo, Coca cola ipo na Jambo cola ipo pia
Unaonekana tu superwoman imekuumiza sana.. mi nilfkr ungepongeza swala la platform kama hizi za kuinua dada zetu.wee unakimbilia copy and paste kuliko impact ya jambo lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sito sahau na njia panda n vitu vinafanana sema mmoja aliamua kujiongeza zaid mkuu.. usipende kuegemea upande flani
Break fast Club ya marekani na wao wana peruzi na kudadisi..?, na wao wana ripoti ya Bonge..? lile ni jina tu, RFA Kaiga kipindi gani..? Sito sahau na Njia panda ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu
 
hahaha mbaya zaidi hadi muda wa vipindi husika mnaiga.
 
Clouds wana segment za sports news kwenye vipindi na redio nyingine nyingi now zimeiga hadi presentation

kuna siku niko saluni nikasikia pia kwenye wasafi block 89 kuna segment ya sports news,the same kama Nje ya chaki ya XXL ya mwanangu Turpa Turpa

Kuiga hadi mtaani..mtu akifungua biashara yake ikafanikiwa kidogo na wengine 1000 wanafungua..Refer Juice points..Sema sio mbaya ndo maisha ya mtanzania kuiga iga tu
 
Hata hiyo elim ilokuwezesha kupost ni copy & paste, yaani wabongo wengi wanaakili ndogo bt wanajifanya wajuaji kama mtoa mada. Haya nieleze hiyo elim unayoichukuli kozi kwa miaka kadhaa kaianzisha baba yako??
mawingu na watu wake wote vichwani ni weupe.
 

Hapa labda unawaongelea wasafi ndio wamekopi ideal nyingi za media nyingine! Mfano kipindi cha magazeti na cha sport wameiga kila jambo EFm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…