Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

nani kakwambia sipendi kusikia..?, nani kakwambia kuna kinacho nikwaza..?, Pepsi ipo, Azam Cola ipo, Mo cola ipo, Coca cola ipo na Jambo cola ipo pia
Unaonekana tu superwoman imekuumiza sana.. mi nilfkr ungepongeza swala la platform kama hizi za kuinua dada zetu.wee unakimbilia copy and paste kuliko impact ya jambo lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sito sahau na njia panda n vitu vinafanana sema mmoja aliamua kujiongeza zaid mkuu.. usipende kuegemea upande flani
Break fast Club ya marekani na wao wana peruzi na kudadisi..?, na wao wana ripoti ya Bonge..? lile ni jina tu, RFA Kaiga kipindi gani..? Sito sahau na Njia panda ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipindi karibia vyote hapo mawingu ni C&P kutoka radio One n Radio free..! Mawingu waliweza kujiongeza zaidi tu...Kwa mtu ambaye ameanza kusikiliza radio muda mrefu ataelewa hili.! Kuiga si dhambi ila unatakiwa ufanye kwa ubora wa hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu
 
Hapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league

Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu...

Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?

Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?

Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo

Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?

Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...

Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mbaya zaidi hadi muda wa vipindi husika mnaiga.
 
Clouds wana segment za sports news kwenye vipindi na redio nyingine nyingi now zimeiga hadi presentation

kuna siku niko saluni nikasikia pia kwenye wasafi block 89 kuna segment ya sports news,the same kama Nje ya chaki ya XXL ya mwanangu Turpa Turpa

Kuiga hadi mtaani..mtu akifungua biashara yake ikafanikiwa kidogo na wengine 1000 wanafungua..Refer Juice points..Sema sio mbaya ndo maisha ya mtanzania kuiga iga tu
 
Hata hiyo elim ilokuwezesha kupost ni copy & paste, yaani wabongo wengi wanaakili ndogo bt wanajifanya wajuaji kama mtoa mada. Haya nieleze hiyo elim unayoichukuli kozi kwa miaka kadhaa kaianzisha baba yako??
mawingu na watu wake wote vichwani ni weupe.
 
Wanacopy sana idea za clouds!!

haya mbwiga kaja na sodo cup, mpira unachezwa kwenye kiwanja katikati kuna mnazi, hakuna kuvaa viatu! Waganga ruksa wanavunja mayai uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna offside

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa labda unawaongelea wasafi ndio wamekopi ideal nyingi za media nyingine! Mfano kipindi cha magazeti na cha sport wameiga kila jambo EFm!
 
Back
Top Bottom