Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Ukweli lazima usemwe kabisa Wasafi Fm wameiga vipindi vingi kutoka Clouds,EFM na EAradio!

Kusema kweli Wasafi ubunifu ni bure kabisa
 
Vipindi karibia vyote hapo mawingu ni C&P kutoka radio One n Radio free..! Mawingu waliweza kujiongeza zaidi tu...Kwa mtu ambaye ameanza kusikiliza radio muda mrefu ataelewa hili.! Kuiga si dhambi ila unatakiwa ufanye kwa ubora wa hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sishangai Wachafu Fm wakicopy vipindi ,maana hata CEO wao nyimbo zake karibia zote ana copy &paste kama sio Audio basi ni Video.Weredi ufuate mkondo wake vitu km Intellectual Property no muhimu sana juzi Mohamed-Enterprise alicopy jina la sabuni fulani kampuni akashitakiwa sijajua kesi iliishaje.
 
Mbona ambao wewe unasema wamekopiwa mbona na wao wamecopy mfano mzuri vipindi vingi vya clouds wamecopy redio free Africa kama kipindi Cha Dr isack Maro kile Cha mtu anasimulia story yake kampeni ya wamama nayo wameiga ndondo cup wameiga, kipindi Chao Cha asubuhi wameiga XXL wameiga, media kuandaa matamasha nayo wameiga kiufupi vipindi vingi wameiga.Labda uendeshwaji wa vipindi ungefanana vyote hapo ndo ningekuwa ninadoubt Cha msingi kila media ipambane na hali yake ubora ndo utaamua.
 
Mimi huwa nasikiliza TBC siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza MTU ambaye hana hata Diploma ya Journalism au Mass Com.

Kwanza hawana Content juzi kuna radio wali copy thread yng hapa JF ikawa ndio topic of the day watu wakawa wanapiga simu kuchangia idea ya thread yng nikatamani niwafungulie Kesi sema nilikosa mwanasheria.
Kumbe Jf nao wanapitaga wale wa media😀 😀
 
Back
Top Bottom