Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Naona umecopy maneno ya Nkololo kule Twitter, ila ni kweli ubunifu ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina linakuwa tofauti ila Maudhui ni yale yale, Mkasi na Bar Tender tofauti ni Location tu na baadhi ya vitu ila Idea ni ile ile
Ukweli lazima usemwe kabisa Wasafi Fm wameiga vipindi vingi kutoka Clouds,EFM na EAradio!
Kusema kweli Wasafi ubunifu ni bure kabisa
Mwezi uliopita niliandika Uzi kama wako wenye Kichwa cha habari "Kuna jipu kwenye tasinia ya habari" .
Wanacopy sana idea za Clouds!!
Haya mbwiga kaja na sodo cup, mpira unachezwa kwenye kiwanja katikati kuna mnazi, hakuna kuvaa viatu! Waganga ruksa wanavunja mayai uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] hakuna offside
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioHapa labda unawaongelea wasafi ndio wamekopi ideal nyingi za media nyingine!
Mfano kipindi cha magazeti na cha sport wameiga kila jambo EFm!
Nambie Bdozen
Sishangai Wachafu Fm wakicopy vipindi ,maana hata CEO wao nyimbo zake karibia zote ana copy &paste kama sio Audio basi ni Video.Weredi ufuate mkondo wake vitu km Intellectual Property no muhimu sana juzi Mohamed-Enterprise alicopy jina la sabuni fulani kampuni akashitakiwa sijajua kesi iliishaje.Vipindi karibia vyote hapo mawingu ni C&P kutoka radio One n Radio free..! Mawingu waliweza kujiongeza zaidi tu...Kwa mtu ambaye ameanza kusikiliza radio muda mrefu ataelewa hili.! Kuiga si dhambi ila unatakiwa ufanye kwa ubora wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh..! Huyu Diva the Boss jamani wadau maana hzo Jazba km za Ala za roho. 🤣 🤣 🤣 😀 😀 😀 🤣 🤣 😀 😀 😀 😀 😀 🤣 🤣 🤣 😀Wema punguza jazba basi....
Mbona ambao wewe unasema wamekopiwa mbona na wao wamecopy mfano mzuri vipindi vingi vya clouds wamecopy redio free Africa kama kipindi Cha Dr isack Maro kile Cha mtu anasimulia story yake kampeni ya wamama nayo wameiga ndondo cup wameiga, kipindi Chao Cha asubuhi wameiga XXL wameiga, media kuandaa matamasha nayo wameiga kiufupi vipindi vingi wameiga.Labda uendeshwaji wa vipindi ungefanana vyote hapo ndo ningekuwa ninadoubt Cha msingi kila media ipambane na hali yake ubora ndo utaamua.Sishangai Wachafu Fm wakicopy vipindi ,maana hata CEO wao nyimbo zake karibia zote ana copy &paste kama sio Audio basi ni Video.Weredi ufuate mkondo wake vitu km Intellectual Property no muhimu sana juzi Mohamed-Enterprise alicopy jina la sabuni fulani kampuni akashitakiwa sijajua kesi iliishaje.
Sawa Mzee was Kudele,Ricardo Momo tumekuelewa.Hakuna kinachofanana hapo vipindi viko tofauti,Unawezaje kulinganisha Block89 na Xxl,hata haviendani.Labda kama kuna kitu kingine unataka kusema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi Ricardo Momo akufanyie kudele weweSawa Mzee was Kudele,Ricardo Momo tumekuelewa.
Mimi huwa nasikiliza TBC siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza MTU ambaye hana hata Diploma ya Journalism au Mass Com.Mbona ambao wewe unasema wamekopiwa mbona na wao wamecopy mfano mzuri vipindi vingi vya clouds wamecopy redio free Africa kama kipindi Cha Dr isack Maro kile Cha mtu anasimulia story yake kampeni ya wamama nayo wameiga ndondo cup wameiga, kipindi Chao Cha asubuhi wameiga XXL wameiga, media kuandaa matamasha nayo wameiga kiufupi vipindi vingi wameiga.Labda uendeshwaji wa vipindi ungefanana vyote hapo ndo ningekuwa ninadoubt Cha msingi kila media ipambane na hali yake ubora ndo utaamua.