Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea?
Mfano mzuri wa endorsment ni huu
www.jamiiforums.com
Uliofanywa na jf member huyu
Japo JF members we are all equal, lakini lazima tukubali watu hatulingani uwezo!, kuna wenzetu wana uwezo kuliko wengine mfano mwana jf huyu
Sasa kama mwanachama mwandamizi hivi wa jf, kama huyu ame muendorse Tundu Lissu, who are we or are you usimuendorse?.
Kwanini sisi JF katika umoja wetu tusimuendorse Tundu Lissu, kama ana sifa za msingi despite all the odds, (hakuna mkamilifu), tusimame nae, kwanza kwa kuanzia tuhakikishe asibwage manyanga, asimame na Mbowe na kukomaa nae mpaka kieleweke dakika ya mwisho, akishindwa na manyumbu, ndipo sasa awaachie hawa Wachagga hii saccos yao, wao na manyumbu wao, waendelee kuwa wapinzani milele huku wakiendelea kuwa mbwa koko wakibweka bweka hapa na pale kuizungunga meza kuu huku wakitupiwa makombo na kujilia, na kuneneoeana,
Kisha TL ateam up na Zitto, kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, tusahau yaliyopita, tumuunge mkono, tumuingize Ikulu 2025?.
Hivyo nauliza, kwa vile Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment?.
Sisi JF pia tufanye endorsment Kati FAM na TAL, JF Tumuendorse Nani? kwenye uchaguzi wa Chadema, kama waandamizi wetu wame muendorse Lissu, JF katika umoja wetu tusimame na Lissu?.
Na 2025 ama tusimame na chama kubwa ama the opposition tufanye endorsment?.
Paskali.
Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea?
Mfano mzuri wa endorsment ni huu
JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship
Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...