Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

Ni kweli mkuu,kuna madaktari sasa hivi wanagraduate ila ni majanga matupu.

Bora mitihani iwepo maana huko vyuoni kazi ni kuiba mitihani tu na kwa watoto wa kike ndio basi tena,wanabebwa kwa gharama ya ngono
 
Hatujakataa mitiani ? Je wajua enzi na enzi dr in intern ship wanapofanyia KAZI huwa wanaweza bakishwa kwenye idara Kama hajafanya vizuri ? Mda wa intern ni mwaka mmoja ila unajua huko kwenye field Kuna watu huchelewa kumaliza intern? ,Why ? Je wajua huko intern watu hupewa passmark? Sasa naomba MCT waseme majukum yao ni yapi , na KWA nini pesa iyo inayotumika tunga mitiani, saisha mitiani wasiwape Machief kwenye hospital husika ambao wanakaa nao hao intern KILA siku ,KILA saa , maana umalizapo intern pale ulipo bado wanapewa vyeti, Sasa MCt katika hili KAZI yao ni ipi? Kama sio ufisadi,na ukiritimba tu,

Tunajua mengi ndani ya WIZARA ya afya,pengine nidanganya sio WIZARA hii ya afya nasema mkuu
 
Haiwezi kuwa uhujumu uchumi..ni sawasawa na kusema watu wanaopata mkopo chuo wasidisco kisa wanamkopo
 
Tatizo wa vyuo vya kata wamekuwa wengi sana, na kichwani ni empty, hatuwezi kuruhusu mambumbumbu kuja ku deal na maisha yetu kirahisi hivo. Big up MCT , tena hiyo mitihani iwe nondo kweli.
 
Haiwezi kuwa uhujumu uchumi..ni sawasawa na kusema watu wanaopata mkopo chuo wasidisco kisa wanamkopo
Hapa unazungumzia vitu viwili tofauti Sana mkuu, mama akibeba mimba ikatoka ni bahati mbaya, ila akijifungua salama lazima mtoto atunzwe KWa wivu mkubwa Sana.
Sio kwamba amezaliwa tena katika mazingira Magum alafu ukamnyoge, au mtupe chooni, big no

Hivyo kila Jambo linatatuliwa kulingana na umuhim wake ,yule kadisco ,hii ni product tiyari ,mfano unamwambia anezaliza unga wa ngano pamoja na reject zote mpaka anapata unga wa kupeleka sokoni ,akautupe ziwani au aweke gereda ikanyagekanyage ,utakua ni ujinga wa kiwango cha juu
 
Tatizo wa vyuo vya kata wamekuwa wengi sana, na kichwani ni empty, hatuwezi kuruhusu mambumbumbu kuja ku deal na maisha yetu kirahisi hivo. Big up MCT , tena hiyo mitihani iwe nondo kweli.
Aisee umeandika Kama ni mmojawapo wa MCT, sikia medicine sio theory zenu, medicine KILA siku unajifunza , medicine hakuna anaejua KILA kitu, medicine tunafundishana bila kujali una level gani, medicine exposure ni Jambo muhim kuliko yote ,

Changia KWa adabu , nitajie ni vyuo gani vya kata vyatoa MD, LAKIN pia Kama ulimanisha shule za kata ,WEWE ni mpumbavu kwamba mtoto toka shule za kata inamuondelea uhalali wa akili zake , so wamanisha ukisoma shule za kata ni mbulula? Basi Kama kweli Ili ni tusi kubwa KWa serikali,

Huna adabu kabisa
 
Tatizo wa vyuo vya kata wamekuwa wengi sana, na kichwani ni empty, hatuwezi kuruhusu mambumbumbu kuja ku deal na maisha yetu kirahisi hivo. Big up MCT , tena hiyo mitihani iwe nondo kweli.
 
Tatizo wa vyuo vya kata wamekuwa wengi sana, na kichwani ni empty, hatuwezi kuruhusu mambumbumbu kuja ku deal na maisha yetu kirahisi hivo. Big up MCT , tena hiyo mitihani iwe nondo kweli.
Sasa unadhani mtihani wa siku moja unaweza kupima hilo?..

Big No.
 
Tatizo wa vyuo vya kata wamekuwa wengi sana, na kichwani ni empty, hatuwezi kuruhusu mambumbumbu kuja ku deal na maisha yetu kirahisi hivo. Big up MCT , tena hiyo mitihani iwe nondo kweli.
WEWE hujui kitu na hujui afya tz imetokea wapi, Kama upo MCT Basi umebebwa na mjomba ,shangazi , kaka, baba nk, Unajua Amo , ndo wametufundisha KAZI , Hawa ndo wale waliokua wanamaliza CO, na kuchukua advance diploma, Hawa ndo wengi waliact Kama surgeon, nk katika idara tofauti, hapa namkumbuka Dr Amata, n.k waliokua G/ Dodoma KWa KAZI yao iliyotukuka na wamenifundisha KAZI Sana, leo wabwabwaja tu hujui lolote ni wakuja tu kwenye furn hii,

Acheni tetea ujinga Kisa upo hapo , Kuna watu hawakuwa Md ila wameifikisha WIZARA ya afya ulipo ikuta WEWE, unakua na mawazo ya kijinga Sana, kabla ya kuzungumzia lolote juu ya sector hii , kaa chini tafakari,

So Kipindi hicho wizi ,ulaghi , ukiritimba wa MCT Kama wa Sasa ulikuepo?

Nani amekwambia medical student anamaliza chuo anajua KILA kitu ? In medicine mengi unayapata ukiwa field , hasa wakati wa intern ,hujui kitu kaa kimiya kuliko onyesha upumbavu wako ndani ya umma wa jf

Waulize mawaziri wa afya wakueleweshe Kama unacho ongea sio ujinga maana wamepitia huko
 
Baba umeweka nondo zilizoenda shule!! Usitegemee mchumia tumbo yeyote wa MCT kutia mguu hapa kujibu nondo hizi za moto!!
Mct wanachofanya ni ubunifu wa kupata pesa!! Wanatafuta pesa kuanzia kwa clinical assistant hadi kwa super specialist!! Ni ubunifu wa kupiga pesa bila kujali maumivu na usumbufu wanaosababisha!!! Baba ukisubiri majibu hapa utasubiri sana!! La msingi ni wahusika kuweka pingamizi la mitihani hii mahakamani!! Pre-interns exam na post interns exam ni batili. Walimu wao wakithibitisha kuwa mwanafunzi amefuzu baada ya miaka 5 inatosha!! Na waliokuwa wanasimamia interns wakisema wamefuzu inatosha!!
 
Hata MCT wameshaleta huo upuuzi wa CPD!! Ni loophole ya rushwa tu wala hakuna chochote!! Japo kwa sasa bado hawajaanza kukomalia CPD ila tayari huo utaratibu wameuweka. Ilì urenew leseni wanataka cpd point 20!!! Ni ubunifu wa kupiga pesa!! Mtu anaanzisha kakozi ka ovyo ovyo ili atoe cpd na watu wanajiandikisha ka kozi hako hako kwa malipo!! Si wanatakz cpd? Lakini ni wizi na uonevu wa hali ya juu!!
 
Nimekuelewa Sana mkuu , Mambo huanza taratibu then yanasonga usijali , ILIHALI najua maana ya taaluma hii najua , lenye mwanzo lina mwisho ipo siku tutakua mfano wa vyama vingine hasa idara ya afya, na vyama vingine vya kitaaluma, KWANZA watuambie majukum yao ni yapi,? Hatuwezi kuwa twaburuzwa kijinga Zama hizi,
 
Sory mkuu naomba kirefu Cha CPD
 
Sory mkuu naomba kirefu Cha CPD
CPD = CONTINUOUS PROFESSIONAL DEVELOPMENT. Wanaleta mfumo wa eti kujiridhisha kuwa huyh daktari huwa anajiendeleza. Wanaandaa vikozi ambavyo mtu akishiriki anapewa point kadhaa. Hizo pointi lazima zifike 20 ili wakubali ku-renew leseni yako ya ku-practice kama daktari. Wajanja wanajitokeza wanaandikishwa na kusajiliwa (kwa pesa ndefu) huko mct kama taasisi zenye vibali vya kuendesha semina na kozi zinazopelekea mtu kupata cpd points kadhaa!! Kozi zingine wajanja wanaendesha online wanapiga pesa na wewe wanàkupa cpd points kadhaa!! Ukiangalià hivyo vikozi viko shallow sana!! Afadhali zile clinical meetings zingetumika watu kupata hizo cpd points!! Hzkuna anayeweza kukataa kuwa clinical meetings huchangia sana hiyo professional development endelevu!!
 
A
AMO walifundishwa na MDs ficha ujinga basi. Mimi sio daktari lakini huwezi kunidanganya kiasi hiki. Bwege wewe utakuwa haohao wa vyuo vya kata. Internship sio field we pimbi. We kwanza kama ni daktari huna akili na hukupaswa kuwa.
 
Sasa KWa sababu wateswa na laana ya ukoo wako ,sikia
Nakufuta pande zote za Dunia, kusini,mashariki , magharibi na kaskazin, nakufuta kuanzia familia YAKO, majirani , ,nakufuta anzia unywele wako mpaka kidole chako za mwisho, mpaka utakapo tubu KWa imani YAKO , na kutoa laki moja ,mia tano KWa KILA maskini Alie Barabarani mpaka laki kuisha ,na imekua
 
A

AMO walifundishwa na MDs ficha ujinga basi. Mimi sio daktari lakini huwezi kunidanganya kiasi hiki. Bwege wewe utakuwa haohao wa vyuo vya kata. Internship sio field we pimbi. We kwanza kama ni daktari huna akili na hukupaswa kuwa.
Nimeisha kupa ujira wako ,unapo post kwangu post KWa adabu, najua namanisha nini, tulikua, tupo na Mungu anajua tupo viwango gani , watu Kama Nyie nawapena Sana , siku jamii ijifunze na imekua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…