Ni kweli mkuu,kuna madaktari sasa hivi wanagraduate ila ni majanga matupu.
Bora mitihani iwepo maana huko vyuoni kazi ni kuiba mitihani tu na kwa watoto wa kike ndio basi tena,wanabebwa kwa gharama ya ngono
Bora mitihani iwepo maana huko vyuoni kazi ni kuiba mitihani tu na kwa watoto wa kike ndio basi tena,wanabebwa kwa gharama ya ngono
Kwa hiyo unataka useme Law School nayo ifutwe? Si walishafaulu chuoni?
Post zako zinaonesha umetoka vyuo vile vya kubebwa bebwa. Kama mko vizuri mnaogopa nini? Kama hamjui hata sheria zinazosimamia mabaraza yenu, mtajua kutibu? Mwandiko wenyewe taabu tupu. Mtakuja kuua watanzania nyie. Tena wawape mitihani migumu, siku hizi mnachomekwa na wazazi wenu vyuoni hata kama hamna sifa. Ukifeli nenda kwenye NGOs.