Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

 
Kwa muda gani ? Na uligunduaje jua linaponya au ndio mambo ya elements
jambo la kukwambia jaribu ninaushuhuda mwingi huenda usiniamini hata kama ukiamka mgongo unakuuma meditation ya jua inakutibu.
 
My apology mkuu Matunzo 02 kwa kujaza link za meditation.. Lengo ni kupanua ufahamu na kujifunza kwa pamoja
Sawa mkuu tumekusamehe aksante pia kwa kutuongezea uelewa
jambo la kukwambia jaribu ninaushuhuda mwingi huenda usiniamini hata kama ukiamka mgongo unakuuma meditation ya jua inakutibu.
So unaangalia tuu au unajinenea?
 
My apology mkuu Matunzo 02 kwa kujaza link za meditation.. Lengo ni kupanua ufahamu na kujifunza kwa pamoja
asante sana mkuu napenda sana kujifunza vitu vipya na kupanua ufahamu na mm nimeanza kujifunza kuna vitu sijui kupitia link hizo nitakuza uelewa.
 
So unaangalia tuu au unajinenea?
ni upendo wako tu kujinenea au hapana ila kikubwa akili yako iwe kwenye jambo unalotaka.
Mm sijawahi kujinenea ila kama nataka kuponesha mguu akili yang wakati naagalia mwanga wa jua uielekeza kwenye mguu najikuta tu nimepona.
 
kuomba msamaha unakuwa hujatenda haki binafsi ninakushukuru maana ninapata kitu kipya.
Uungwana ni vitendo.. Na vitendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno..!

Bofya link husika itakupeleka direct kwenye mada husika
 
 
Aisee umenikumbusha,hii tuliitumia tukiwa wadogo,ukiumwa sungusungu inakubidi kulitazama jua kwa mda,maumivu yanapotea,Sasa naelewa kumbe ilikuwa meditation,Asante kwa Elimu nzur mkuu
ni kweli meditation ya jua inaondoa maumivu unaweza kuitumia kujitibu hata maumivu ya kichwa.
 
kwani Mshana Jr anasemaje kuhusu hili......?
 
Mkuu, sasa hapo kwenye kuliangali jua je miale yake si inakuwa ya kuumiza macho na je napaswa kuangalia au kufumba macho tu
 
Mkuu, sasa hapo kwenye kuliangali jua je miale yake si inakuwa ya kuumiza macho na je napaswa kuangalia au kufumba macho tu
ukiwa unaanza unapaswa kuliagalia jua.
Jua la asubuhi linapochomoza haliumizi macho na miale ya jua ni dawa ya jicho.
Ila kama umefungua jicho la tatu unafumba macho unafungua jicho la tatu unaanza kuagalia miale ile utaanza kujihisi mwepesi san kama vile unataka kupaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…