Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.

Wakiona serikali inajenga shule,hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.

Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais.Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida ukipata stendi mpya ya kisasa iliyogharaimu bil 12 +.

Pia tumeshuhudia stendi mpya ya kisasa jijini Dodoma na soko kubwa la kisasa la Ayubu Ndugai. Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli ni ya kutiliwa mfano. Maana ni zaidi ya Johanesburg park station.

Wapinzani tokea JPM aingie madarakani mlikuwa mnakosoa na kumdhihaki kuw ni mzee wa kupenda Megastructures. Je, sasa hamuoni zilivyobadili taswira ya taifa letu? Hamuoni kuwa ni kaendeleo makubwa na miundo mbinu ya kisasa ambayo itaongeza mapato kwa taifa?

My take; Tusipende kukosoa kila kitu,hata mradi wa JNHPP ukikamilika itakuwa ni Megastructure inayotusaidia.
Sasa hizo stendi ndiyo maendelo wakati watu huko Kazuramimba wanakunywa maji yenye matope. Mtwara watoto hawana madarasa lakusomea, Dar es Salaam hawana madarasa. Vituo vya afya na zahanati havina dawa. Wananchi wa Lindi na Mtwara hawawezi kuuza korosho zao.

Yaani kujenga vituo vya mabasi na masoko ndiyo kigezo cha maenseleo. Hii ni akili ya KI- Pimbi sana
 
Watu wanasifia manunuzi ya ndege.

Ndege zimenunuliwa bila kufuata bajeti, bila ya open tender, bila ukaguzi wa vitabu vya mahesabu kuruhusiwa.

Upumbavu mtupu!
 
Maendeleo hayapatikani kama unavyovua samaki na kokoro. Japokuwa una hoja ya msingi juu ya maji na elimu. Nguvu kubwa inatakiwa kupelekwa huko

Wewe mwenye akili fupi huwezi kujua umuhimu wa stendi au masoko mkakati. Yataingiza pesa nyingi zikitumika vizuri zitaleta maendeleo makubwa. Tumia akili hata kidogo.
 
Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.

Wakiona serikali inajenga shule,hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.

Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais.Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida ukipata stendi mpya ya kisasa iliyogharaimu bil 12 +.

Pia tumeshuhudia stendi mpya ya kisasa jijini Dodoma na soko kubwa la kisasa la Ayubu Ndugai. Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli ni ya kutiliwa mfano. Maana ni zaidi ya Johanesburg park station.

Wapinzani tokea JPM aingie madarakani mlikuwa mnakosoa na kumdhihaki kuw ni mzee wa kupenda Megastructures. Je, sasa hamuoni zilivyobadili taswira ya taifa letu? Hamuoni kuwa ni kaendeleo makubwa na miundo mbinu ya kisasa ambayo itaongeza mapato kwa taifa?

My take; Tusipende kukosoa kila kitu,hata mradi wa JNHPP ukikamilika itakuwa ni Megastructure inayotusaidia.

Tupe ushahidi wa kukosoa kujegwa kwa hivyo vitu. Wapinzania wengi walipinga kununua ndege tena ni kule kwa kutoa pesa cash tu. Hayo mengine mna jaribu kuwawekea wapinzani. Wabunge wa zamani watapinga vipi kujegwa kwa hivi vitu kwenye majimbo yao😂
 
Megastructure syndrome.
 
Wakati anajenga megastructures akumbuke kukosekakana kwa dawa Sasa kumefika hadi JKCI na Muhimbili Hospital yote
 
Magu haondoki madarakani au nasema uongo ndugu zangu.
Wala hatakiwi awaze kuondoka...atalazimika kuendelea kuiongoza nchi mpaka tuwe tumepata momentum ya kutengeneza misingi ya kweli ambayo haina external influence
 
Ki ukweli bado zinaweza kuwa zinaendeshwa kwa hasara na hili ukitaka kujua vizuri ni pale tunapoweza kuangalia ROI kwa kuangalia muda na rasilimali ilyotumika na tukachukulia kuwa huo ni mkopo wenye riba.

Bado jamii hainufaishi na uendeshaji au uwepo wa hizi stendi katika kuongeza kipato na hii inatokana na kuwa na viongozi wasio wabunifu katika kuwezesha kuongeza kipato - sioni sababu kwa stendi hizi zisiweze kufanya kazi masaa 24 angalau kwa kuwa na mabasi yatakayoenda mkoa mmoja kwa masaa 24 kwa pande nne mfano kituo cha Dodoma kiweze kuwa na safari zifuatazo kwa masaa ishirini na nne.
  1. Dodoma -morogoro
  2. dodoma Manyara
  3. Dodoma-singida
  4. Dodoma -Iringa
Na kila mkoa ikawa na root angalau za mkoa momoja kwa masaa 24 kiasi kwamba mtu akiwa anaenda arusha anauhakika akifika manyara atapata basi la Arusha na akiwa anaenda mbeya akifika Iringa atapata basi la kwenda mbeya.

Kwa kufanya hivi shughuli zingine zinaweza kuendelea kwa kadri ya mahitaji.

Haikai sawa eti unastend lakini huwezi kusafiri usiku hii haiko sawa.

Hili ni eneo moja lakini eneo lingine kunatakiwa kutengenezwe mazingira yanayovutia kumaliza baadhi ya mikusanyiko ya kijamii hukohuko stendi zikiwepo kumbi za sherehe na mikutano kiasi kwamba watu wakimaliza wanaondoka sambamba na kuweka hotel pamoja na lodge kwa wenye kipato cha kati na kawaida ili ikiwezekana akifanya shughuli zake aweze kulala stend na kuondoka.

Mighahawa mizuri na sehemu zenye bustani nzuri na michezo ya watoto inaweza kuongeza tija wakati watu wanasubiri wageni wanaweza kupoteza muda kwa kuwa maeneo hayo au mtu akavutiwa kwenda kutembea na familia badala ya kwenda bar.
Miradi ya nchi haiamuliwi kwa financial analysis pekee, ukifanya economic analysis hakuna hasara hapo yote ni viable maana ina create jobs...Sema watanzania wengi hatujazoea miradi mikubwa kama hii imekuja wakati sisi raia tulioishi kwenye umasikini uliotopea hatujajiandaa...

HE is far above all of us in creativity and imagination....Anaishi nchi ambayo watu wengi tumezoea statusquo na hatujazoea ku model uchumi wa jinsi hii...Lakini havitaoza hizo ni life time investment, kizazi kijacho kita pick na kuiendeleza pale ambapo watapata ignition point...Bado kwa sasa haijatokea inertia ya kuwapa a take off ride
 
Ki ukweli bado zinaweza kuwa zinaendeshwa kwa hasara na hili ukitaka kujua vizuri ni pale tunapoweza kuangalia ROI kwa kuangalia muda na rasilimali ilyotumika na tukachukulia kuwa huo ni mkopo wenye riba.

Bado jamii hainufaishi na uendeshaji au uwepo wa hizi stendi katika kuongeza kipato na hii inatokana na kuwa na viongozi wasio wabunifu katika kuwezesha kuongeza kipato - sioni sababu kwa stendi hizi zisiweze kufanya kazi masaa 24 angalau kwa kuwa na mabasi yatakayoenda mkoa mmoja kwa masaa 24 kwa pande nne mfano kituo cha Dodoma kiweze kuwa na safari zifuatazo kwa masaa ishirini na nne.
  1. Dodoma -morogoro
  2. dodoma Manyara
  3. Dodoma-singida
  4. Dodoma -Iringa
Na kila mkoa ikawa na root angalau za mkoa momoja kwa masaa 24 kiasi kwamba mtu akiwa anaenda arusha anauhakika akifika manyara atapata basi la Arusha na akiwa anaenda mbeya akifika Iringa atapata basi la kwenda mbeya.

Kwa kufanya hivi shughuli zingine zinaweza kuendelea kwa kadri ya mahitaji.

Haikai sawa eti unastend lakini huwezi kusafiri usiku hii haiko sawa.

Hili ni eneo moja lakini eneo lingine kunatakiwa kutengenezwe mazingira yanayovutia kumaliza baadhi ya mikusanyiko ya kijamii hukohuko stendi zikiwepo kumbi za sherehe na mikutano kiasi kwamba watu wakimaliza wanaondoka sambamba na kuweka hotel pamoja na lodge kwa wenye kipato cha kati na kawaida ili ikiwezekana akifanya shughuli zake aweze kulala stend na kuondoka.

Mighahawa mizuri na sehemu zenye bustani nzuri na michezo ya watoto inaweza kuongeza tija wakati watu wanasubiri wageni wanaweza kupoteza muda kwa kuwa maeneo hayo au mtu akavutiwa kwenda kutembea na familia badala ya kwenda bar.
Phase itakayokuja kutokana na kuwa na jobs nyingi ambapo vipato vya uhakika vitaongezeka na ndiyo ile backward pruduction and forward production linkages utaanza kuziona kuwa na realities. Uchumi kukua ni kama kuku na yai; Mh. Rais is turning vicious circle into virtous circle...Kuwa mtulivu, vuta subira mambo mazuri hayahitaji haraka....Nchi siyo household ya mtu, ina maisha marefu zaidi...Yajayo yanafurahisha...
 
Watu wanasifia manunuzi ya ndege.

Ndege zimenunuliwa bila kufuata bajeti, bila ya open tender, bila ukaguzi wa vitabu vya mahesabu kuruhusiwa.

Upumbavu mtupu!
Isitoshe ndege zile Dreamliners sijui zinaruka kwenda wapi. Na zile zilizobaki kwanza uendeshaji wake hauna transparency maana Kasoma ya ATCL imehamishiwa Ikulu ambalo CAG haruhusiwi kukagua.
 
Miradi ya nchi haiamuliwi kwa financial analysis pekee, ukifanya economic analysis hakuna hasara hapo yote ni viable maana ina create jobs...Sema watanzania wengi hatujazoea miradi mikubwa kama hii imekuja wakati wao hatujajiandaa...

HE is far above all of us in creativity and imagination....Anaishi nchi ambayo watu wengi tumezoea statusquo na hatujazoea ku model uchumi wa jinsi hii...Lakini havitaoza hizo ni life time investment, kizazi kijacho kita pick na kuiendeleza pale ambapo watapata ignition point...Bado kwa sasa haijatokea inertia ya kuwapa a take off ride
Kweli mkuu maana financial analysis sio swala la Uchumi/ Economic issue... Aaah.
Utakua zao la UDBS wewe....
 
Isitoshe ndege zile Dreamliners sijui zinaruka kwenda wapi. Na zile zilizobaki kwanza uendeshaji wake hauna transparency maana Kasoma ya ATCL imehamishiwa Ikulu ambalo CAG haruhusiwi kukagua.
Mbona mnapenda sana uzandiki? Kasima ya Atcl kuhamishiwa Ikulu ndio hakuna ukaguzi?

Sasa hivi Dunia nzima ndege kubwa haziruki. Dreamliners zitakuja kufanya kazi.
 
Phase itakayokuja kutokana na kuwa na jobs nyingi ambapo vipato vya uhakika vitaongezeka na ndiyo ile backward pruduction and forward production linkages utaanza kuziona kuwa na realities. Uchumi kukua ni kama kuku na yai; Mh. Rais is turning vicious circle into virtous circle...Kuwa mtulivu, vuta subira mambo mazuri hayahitaji haraka....Nchi siyo household ya mtu, ina maisha marefu zaidi...Yajayo yanafurahisha...
Praise and worship timu...unatia wapi guts kua zitafanya vizuri? Kwani hakuna kushindwa pia. .Mfano angalia miradi ya Mobutu mini kilitokea...
 
Maendeleo hayapatikani kama unavyovua samaki na kokoro. Japokuwa una hoja ya msingi juu ya maji na elimu. Nguvu kubwa inatakiwa kupelekwa huko

Wewe mwenye akili fupi huwezi kujua umuhimu wa stendi au masoko mkakati. Yataingiza pesa nyingi zikitumika vizuri zitaleta maendeleo makubwa. Tumia akili hata kidogo.
Ukitaka kujua kuwa masoko ni uwekezaji wa kipuuzi angalia Machinga Complex na soko la Mwanjelwa Mbeya. Nani atapanda ghorofani pale Kisutu au Magomeni kwa mfano kwa ajili ya kununua viazi au nyanya?
Wachuuzi wa masokoni hawawezi kumudu hizo Kodi kwa kuwa wateja wao nao hawawezi kwenda kununua bidhaa hizo huko ghorofani
 
Mbona mnapenda sana uzandiki? Kasima ya Atcl kuhamishiwa Ikulu ndio hakuna ukaguzi?

Sasa hivi Dunia nzima ndege kubwa haziruki. Dreamliners zitakuja kufanya kazi.
Unaandika vitu bila kujua ...it is a shame to us .Nani alikuambia Ikulu inakaguliwa?
 
Ahaaa. Ikulu au tunazungumzia Atcl kama shirika la umma? Kuwa chini ya katibu mkuu kiongozi ndio alikaguliwi?
 
Praise and worship timu...unatia wapi guts kua zitafanya vizuri? Kwani hakuna kushindwa pia. .Mfano angalia miradi ya Mobutu mini kilitokea...
Kwanini ishindwe kwamfano? Kama wewe umezoea kuona failures wengine tumezoea kuona success hata kwenye viashiria vyote vya failure...

Yes praise team and who are you, our DJ?
 
Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.

Wakiona serikali inajenga shule,hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.

Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais.Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida ukipata stendi mpya ya kisasa iliyogharaimu bil 12 +.

Pia tumeshuhudia stendi mpya ya kisasa jijini Dodoma na soko kubwa la kisasa la Ayubu Ndugai. Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli ni ya kutiliwa mfano. Maana ni zaidi ya Johanesburg park station.

Wapinzani tokea JPM aingie madarakani mlikuwa mnakosoa na kumdhihaki kuw ni mzee wa kupenda Megastructures. Je, sasa hamuoni zilivyobadili taswira ya taifa letu? Hamuoni kuwa ni kaendeleo makubwa na miundo mbinu ya kisasa ambayo itaongeza mapato kwa taifa?

My take; Tusipende kukosoa kila kitu,hata mradi wa JNHPP ukikamilika itakuwa ni Megastructure inayotusaidia.
Hongera kwa hoja isiyojadilika
 
Ukitaka kujua kuwa masoko ni uwekezaji wa kipuuzi angalia Machinga Complex na soko la Mwanjelwa Mbeya. Nani atapanda ghorofani pale Kisutu au Magomeni kwa mfano kwa ajili ya kununua viazi au nyanya?
Wachuuzi wa masokoni hawawezi kumudu hizo Kodi kwa kuwa wateja wao nao hawawezi kwenda kununua bidhaa hizo huko ghorofani
Kwani kupanda gorofani miguu inakatika? Its because wale wamachinga wazamani hiyo siyo life style yao; what about machinga hawa wapya ambao ni graduates where will they go?

Kuna cohort ya viongozi wale wa kizazi cha transition ndiyo ambao hawajaelewa what is and should be done, ukiona Mh. Anaanza kutafuta nje ya mifumo ujue anataka kuleta change in the perspperspective ya utendaji kwenye governance...All you see is negative....Full of negativity...

Tanzania ni nchi nayo inaishi miaka zaidi ya billion unaweza wewe usione faid aya hiki leo lakini 10 years down the lane ndiyo utagundua ulijilisha matango pori...

Thats why some of us advocate HE to remain in his position...Sasa umpate successor anayewaza kama wewe si ndiyo utatuambia miradi yote ni hasara kumbe hasara ni ubongo wako na macho yako yasiona mbali...Sorry for hard words...Please ebu ifikie sehemu tukubali kuwa mwenzetu anamaono ya mbali, na tumpe nafasi atupeleke mpaka upofu wetu ututoke
 
Back
Top Bottom