Mei 7, 1919 Vita ya Kwanza Duniani ilituharibia sana, Tanzania tungekuwa mbali sana

Mei 7, 1919 Vita ya Kwanza Duniani ilituharibia sana, Tanzania tungekuwa mbali sana

Huijui Ujerumani wewe. Kaulize kule Namibia na nchi zote ambazo Ujerumani ilitawala, ukimaliza hapo linganisha na nchi zilizotawaliwa na Uingereza tangu mwanzo. Bora Mfaransa kuliko Mjerumani, bora Mwingereza kuliko Mfaransa, kamwe usitawalike na Mbelgiji
Hakuna aliyebora...wote wametapakaa damu za wasio na hatia

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Tabora au Kigoma?
Tabora; eneo ambalo waarabu walikuwa wakikusanya watumwa na kuwapeleka bagamoyo; baadaye mwarabu akampokea Dr. Livingstone kama mgeni, na mwishowe mwarabu akatelekeza mji kutokana na hofu ya biashara ya utumwa.​
 
Na kumchukua Azori mbele ya mkewe mjamzito kisha kwenda kumuua, na kumlipua kwa bomu mwandishi wa habari katikati ya askari, ipi bora viboko au kifo.
Ahahaha nimecheka ila jins ulivyo ibua swala la azory gwanda


Mm nadhani swla hili aukizwe alikuwa wazir wa maswla ya kigeni bwan professor. Kabudi anjuwa vzr kilichotokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom