Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

Tucta waseme,jenista aseme
Ss Samia angekuja na mpya gani?.

ila leo walau hatujafokewa
 
Mwakani mtaambiwa nyongeza haipo kwa sababu pesa imeelekezwa Mtwara kupambana na magaidi kutoka Mozambique
 
Sir Magufuli the hero, ndiye alikuwa rais mwenye maono, mwelekeo sahihi na misimamo. Kwake ilikuwa rangi either ni nyeusi au nyeupe. Hakukuwa na mapichapicha kama haya.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hii hoja naiunga mkono kwa asilimia mia, nabii hakubaliki nyumbani
 
Back
Top Bottom