Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
BAGAMOYO,TANGA, MKURANGATaja Moja kama wewe ni mkweli.
Huyo mgeni rasmi atasema anaogopa kundi la wafanyakaziFuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
yote kwa yote masikio yanataka kusikia tudanganywe eti kikokotoo kimeondolewaFuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
Kuna Mengi Sana Na Waswahili Wanasema Nyama Ya Usiku HainoniWhy RAISI kakacha?
😀😂Mpiga mwingi kaingia mitini ujue hakuna kitu hapo hadi mwenyewe anaona aibu kusimama mbele za watu.
Wese mkoa kwa sasa ni 3500/lita na hakuna hata mpango wakayaondoa hayo makodi.
Ahahahahaha!!!!BAGAMOYO,TANGA, MKURANGA
Hahahaha walimu nao kuchukulia kazi yao kama wito ndiyo maana maslahi yao hucheleweshwa, watabaki vivyo hivyoMtoto wangu wa darasa la Saba nimemwambia usiende shuleni Leo,baadhi ya wilaya za Tanzania zimewaambia walimu waendelee kufundisha siku Yao ya wafanyakazi
Anataka kuwachosha wafanyakazi wasiwezi hata kufikiria maslahi yaoHuyu MC anawatesa sana hawa wafanyakazi, kukimbizana ndo nini
Are you sure?Why RAISI kakacha?