Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
π€£π€£π€£π€£π€£Oooh! Mama atakuja kutoa tamko siku za baadaye!! Yaani watumishi wameshapigwa na kitu kizito kichwani.
CCM wanachokitaka ni kupigiwa kula tu hata kianzishwe kikundi Cha mapunga wataitwa maafisa burudaniWadudu wa Chugga wamerasimishwa!
Tena ni miaka mingi ya baadayeSiyo siku za baadae tu ila ni siku za baadae kama nchi itaendelea kuwa kwenye status iliyopo sasa ya ustaimilivu wa wa hali ya sasa ya kushake kwa uchumi unaosababishwa na vita ya urus vs Ukraine na ile ya mashariki ya kati.
I think it's a polite way ya kutuambia NO! Hahahππ€£π Ndo imeshatoka hiyo.
Halafu mwakani kuna catastrophe ya ukame (sever drought), ambalo serikali nyingi zitalazimika kuwanunulia wananchi wake vyakula.
Likiisha janga la asili hili, linaibuka jingine kivingine. Lini yataisha ili watumishi wapewe stahiki zao?
Mei mosi 2025 huenda ndo bakuli la nyama, kwa sasa pambaneni na mtori.Et "mama atasema neno siku za hivi karibuni" neno na si vitendo! Na atasemea wapi labda?
Alilaumiwa sana Magufuli kwenye nyongeza ya mshahara,lakini mzee wa watu hakuongeza ila alipunguza sana mfumuko wa beiOooh! Mama atakuja kutoa tamko siku za baadaye!! Yaani watumishi wameshapigwa na kitu kizito kichwani.
Yaani ashindwe kusema leo aseme siku nyingine?? Kwenye nane nane?Huku tunaambiwa mama atasema Jambo hivi karibuni.
Hahah...
Catastrophes zikipungua, sijui zikiisha.
Halafu wanapiga ndefu mpaka mwakani tena , jamaa wanakula mishahara hapo kati per diems za safari za kizushi kibao...Vyama havina maana baadhi ya taasisi zinajipambania zenyewe kupata maslahi kupitia management yake.Kulikuwa na viongozi 50 wote WAMESAINI perdiem,huku wengine wakipewa t-shirt wakikauka jua Kali mwisho wameambiwa muondoke mkalale ππ ,lakini wadudu wamepewa chao