Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

Serikali iongeze mshahara Mwaka huu wakati uchaguz ni mwakani?

Mei ya kicheko ni ya 2025
 
Kikotoo kiendelee kisitolewe hakuna mstafu anayepewa pesa ikaeumu hata miez 12
 
😆🤣😅 Ndo imeshatoka hiyo.

Halafu mwakani kuna catastrophe ya ukame (sever drought), ambalo serikali nyingi zitalazimika kuwanunulia wananchi wake vyakula.

Likiisha janga la asili hili, linaibuka jingine kivingine. Lini yataisha ili watumishi wapewe stahiki zao?
I think it's a polite way ya kutuambia NO! Hahah
Hivi hakuna mfuko wa Majanga ya asili??
Nawaza tuu!!
 
Oooh! Mama atakuja kutoa tamko siku za baadaye!! Yaani watumishi wameshapigwa na kitu kizito kichwani.
Alilaumiwa sana Magufuli kwenye nyongeza ya mshahara,lakini mzee wa watu hakuongeza ila alipunguza sana mfumuko wa bei

Mama Samia haongezi mshahara ispokuwa anaongeza mfumuko wa bei
 
Jifunze kupambana kujilipa mishahara mnayohitaji
Hicho mnachopata kikuze kiwape kipato cha ziada
 
Kulikuwa na viongozi 50 wote WAMESAINI perdiem,huku wengine wakipewa t-shirt wakikauka jua Kali mwisho wameambiwa muondoke mkalale 😀😄 ,lakini wadudu wamepewa chao
 
Kulikuwa na viongozi 50 wote WAMESAINI perdiem,huku wengine wakipewa t-shirt wakikauka jua Kali mwisho wameambiwa muondoke mkalale 😀😄 ,lakini wadudu wamepewa chao
Halafu wanapiga ndefu mpaka mwakani tena , jamaa wanakula mishahara hapo kati per diems za safari za kizushi kibao...Vyama havina maana baadhi ya taasisi zinajipambania zenyewe kupata maslahi kupitia management yake.
 
Back
Top Bottom