Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Huyaa Dr

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
312
Reaction score
874
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani?

Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi(rais) kaingia mitini,makamo Hana maamuzi ya papo Kwa hapo ataahidi kumfikishia ujumbe rais(changa la macho)yetu macho.

Halafu nyuma ya makamo nawaona mawaziri akiwemo mwigulu alivyo siriaz utadhani anauchungu na nchi hii,kumbe "fisi"
 
Mwigulu mchumi nguli yule hata maprof wa uchumi wanamwogo akitoa hoja za kiuchumi hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa kama ilivyo kwa lisu hakuna prof wa sheria wa kumkosoa. Lisu ana div one ya pont tatu HGL mwingulu and division one ya pont tatu EGM wote wawili wamesoma ilborou
 
Tupe uhusiano wa div one na uongozi,bashite ana div ngapi maana amejaza uwanja leo
 
Wadudu nao wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…