saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Acheni ushambenga, Rais ni binadamu. Hamtafanikiwa na maupuuzi yenu hayoKumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani?
Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi(rais) kaingia mitini,makamo Hana maamuzi ya papo Kwa hapo ataahidi kumfikishia ujumbe rais(changa la macho)yetu macho.
Halafu nyuma ya makamo nawaona mawaziri akiwemo mwigulu alivyo siriaz utadhani anauchungu na nchi hii,kumbe "fisi"