Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Huyo Lamark ni mungu wako?
Hawa ni wasomi wanaofanya tafiti za kutosh siyo nyie wachawi na wanaomwamini mwamposa zero brain. Anatumia fikra finyu za watanzania kujitajirisha eti mtume na nabii
 
Issue ya kujaa wafanyakazi is no big deal, nadhani unajua watumishi wanalipwa posho kwa taratibu za kawaida wanapohudhuria huko. Pia baadhi ya idara ziko huko zaidi ya wiki moja iliyopita.

Unategemea mahudhurio yawe hafifu Mkuu?
Kuna bajaji mia nne zinapita sasa hivi hapa zinamilikiwa na wadudu.
 
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani?

Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi(rais) kaingia mitini,makamo Hana maamuzi ya papo Kwa hapo ataahidi kumfikishia ujumbe rais(changa la macho)yetu macho.

Halafu nyuma ya makamo nawaona mawaziri akiwemo mwigulu alivyo siriaz utadhani anauchungu na nchi hii,kumbe "fisi"
Well Spoken
 
Pambania kombe mzee
 
Bashite alisema atawachapa bakora wakidai nyingeza ya mishahara. Leo wapo sebuleni kwake ngoja tuone.
 
Mwigulu mchumi nguli yule hata maprof wa uchumi wanamwogo akitoa hoja za kiuchumi hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa kama ilivyo kwa lisu hakuna prof wa sheria wa kumkosoa. Lisu ana div one ya pont tatu HGL mwingulu and division one ya pont tatu EGM wote wawili wamesoma ilborou
Acha kumlinganisha lisu, mtoe lisu hapo ni kumnyima heshima yake
 
Raisi anajua mkono mtupu haulambwi. Angelazimika kutoa ahadi kwa wafanyakazi 🤔
 
Acha kumlinganisha lisu, mtoe lisu hapo ni kumnyima heshima yake
Kwa lipi lisu anamzidi mchumi nguli. Kimbuka sheria kila mtu anawez kusoma lakini siyi uchumi. Sheria ngwini wote wanakillmbilia huko. Lakini uchumi unahitaji pure mathematician
 
Arusha ndiyo mkoa wenye wadudu. Hatari sana!!

Huku Katavi wadudu tunawaangamiza na dawa aina ya DDT lkn Arusha wadudu wanaongea na RC. Maajabu haya.
Wadudu ni kundi la vijana wasaniii wenye culture yao ya mavazi si wezi wala vibaka
 
Ni aibu kubwa kukubali kumwita mwananchi ( citizen) mdudu kwenye maonesho kama haya!

Imekuwaje viongozi wamekubali hili!?
 
Makonda Kufanikiwa Kuwaongoza wadudu na kuwafanya Watii Serkali Inabidi wampe Honorary PhD kwa leo hii Nimemkubali Aisee wadudu ilikuwa vigumu sana kuwaongoza na kuwafanya wakutii
Lucas Mwashambwa
We unawajua wadudu wewe, wale sio wadudu, wale ni wasanii tuu wameiba jina la hao wahuni wadudu... Elewa hivyo... Na hapo chuga zile swagz zao hatuzipendi
 
Wadudu ni kundi la vijana wasaniii wenye culture yao ya mavazi si wezi wala vibaka
Hiyo tabia ya wadudu kutokuwa vibaka ama wezi imeanza baada ya Makonda kuwa RC wa Arusha?
 
Back
Top Bottom