Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Mwigulu mchumi nguli yule hata maprof wa uchumi wanamwogo akitoa hoja za kiuchumi hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa kama ilivyo kwa lisu hakuna prof wa sheria wa kumkosoa. Lisu ana div one ya pont tatu HGL mwingulu and division one ya pont tatu EGM wote wawili wamesoma ilborou
Ilboru Kuna EGM?
 
Naomba mnitazamie na yule bwana makalio makubwa, naye yupo?
 
Ndiyi. Plato(philosopher) said that someone who excels in the class is likely to excel in so many things.
Sasa mfumo wa hiyo elimu ya darasani una uhakika inakidhi hali halisi iliyopo mtaani kwa muhitimu kutumia elimu hiyo kuleta mabadiliko katika jamii yake?

Maana naona mara nyingi watu mnasifiana divisions na GPA na kingereza kizuri, ilihali ukija kwenye uhalisia vitendo sifuri kabisa....
 
Mwigulu mchumi nguli yule hata maprof wa uchumi wanamwogo akitoa hoja za kiuchumi hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa kama ilivyo kwa lisu hakuna prof wa sheria wa kumkosoa. Lisu ana div one ya pont tatu HGL mwingulu and division one ya pont tatu EGM wote wawili wamesoma ilborou
Mwongo mkubwa wewe. Mwigulu kasoma Ilboru O-level. Na advance kasoma Mazengo ambapo alipata div II. Huko UDSM ndo alipiga first class.
 
Hoja za bashite hata std one anamzidi. Hii ndo tofauti kati ya usomi na uzwazwa. Halafu mtu nwenye shule ya kubahatisha lazima afe haraka kama jpm mana hafit kwa lolote ispokuw nguvu tu
Heinrich Hertz alifariki na miaka 37, alikuwa na shule ya kubahatisha?
 
Mwigulu mchumi nguli yule hata maprof wa uchumi wanamwogo akitoa hoja za kiuchumi hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa kama ilivyo kwa lisu hakuna prof wa sheria wa kumkosoa. Lisu ana div one ya pont tatu HGL mwingulu and division one ya pont tatu EGM wote

Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani?

Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi(rais) kaingia mitini,makamo Hana maamuzi ya papo Kwa hapo ataahidi kumfikishia ujumbe rais(changa la macho)yetu macho.

Halafu nyuma ya makamo nawaona mawaziri akiwemo mwigulu alivyo siriaz utadhani anauchungu na nchi hii,kumbe "fisi"
Issue ya kujaa wafanyakazi is no big deal, nadhani unajua watumishi wanalipwa posho kwa taratibu za kawaida wanapohudhuria huko. Pia baadhi ya idara ziko huko zaidi ya wiki moja iliyopita.

Unategemea mahudhurio yawe hafifu Mkuu?
 
Back
Top Bottom