Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Makonda Kufanikiwa Kuwaongoza wadudu na kuwafanya Watii Serkali Inabidi wampe Honorary PhD kwa leo hii Nimemkubali Aisee wadudu ilikuwa vigumu sana kuwaongoza na kuwafanya wakutii
Lucas Mwashambwa
Na bila wadudu leo hapanogi,Kwa bashite kaupiga mwingi sana ngoja tuone onesho la makonda na wadudu hapa Amri Abeid.
 
šŸ™„ DUH ASEE MBONA HII HATARI NA MAUMIVU MAKUBWA
 
Kwamba uamuzi wa kutangaza nyongeza ya mishahara rais huwa anatangaza hapo uwanjani kama surprise, na sio jambo linalojadiliwa kwanza? Hizo sherehe hapo zimepata kiki kwakuwa mpenda sifa Makonda yuko hapo.
 
wadudu wameona wasimwangushe bashite
 
Dah nilitaka kutoka huku kijiji nkamuone live basi tena huenda Mungu alitaka hii nauli nipeleke mahala penginešŸ”„
 
Wafanyakazi wapi hao waliojaa
 
Na bila wadudu leo hapanogi,Kwa bashite kaupiga mwingi sana ngoja tuone onesho la makonda na wadudu hapa Amri Abeid.
Wabongo mkiwekewa moonshot na wasanii sjui wadudu ......kwishneyy

Ova
 
Kwahiyo 1.3 ndo hakikisho la utendaji Bora wa kuleta mabadiliko katika nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…