Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

Acheni ushambenga, Rais ni binadamu. Hamtafanikiwa na maupuuzi yenu hayo
 
Chawa promax
 
Umenifanya nicheke kwa sauti hiyo paragraph ya mwisho,,
 
Hakuna ngonjera na mashairi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Au wanaovunja matofali na vichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
poleni sana watumishi wa umma, hasa walimu maana nyinyi wakati wa uchaguzi ndio mnawasaidia kuiba kura nyinyi mna sehemu yenu motoni.
 
Ilborou ndio kitu gani??

Mzee wangu kasoma Ilboru na Tabora boys same as to my brother ila bado wanaheshimu watu wengine kama kawaida.

Huwezi puuza maoni ya wengine kisa eti umesoma Ilboru??
 
Kwa lipi lisu anamzidi mchumi nguli. Kimbuka sheria kila mtu anawez kusoma lakini siyi uchumi. Sheria ngwini wote wanakillmbilia huko. Lakini uchumi unahitaji pure mathematician
Una uhakika?Au ni ujuaji mwingi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…