Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

argument yenye kuleta tija ni kusema kuwa yupo bandarini anasubiri mzigo wake?? Imekuwa stendi ya Shabiby??? Acha ukanjanja
Kwani TPA yenu ina tofauti gani na Shabiby? Si wote mnabeba mizigo!! Isitoshe nafuu hata Shabiby ina efficiency kuliko nyinyi lazy bones
 
Back
Top Bottom