jfour
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 242
- 222
Mzito sana kuelewa, nimekwambia kutokana na article yako siyo bandari ya Dar peke yake iliyopata congestion. Bandari za South Afrika, Djibouti n.k zimepata congestion na siyo dhambi, ni booming ya biashara kutokana mwisho wa mwaka kama ilivyo kwenye utalii kuna high season na low season. Ongezeko la meli siyo laana. Sasa kuzuia bagging na hatua nyingine ambazo bandari watakuwa wamechukua ni njema kwakua wamefanya assessment ya kitaalam kufikia huo uamuzi au wewe unautaalam kushinda wao??Hangaika na sentensi hii hapa:
"Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility"
👇👇👇👇👇👇
👉 Mwandishi anawaquote bandari ya Dar akiwaeleza wateja wake kuwa amezuia kufanya bagging kama measure ya kupunguza msongamano.
"Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility".
👉 Mwisho wa mwaka ni high season ya kibiashara kupitia hiyo article mwandishi anataja bandari za south Afrika zimeexperience Congestio, Djibout n.k
👉 Kutokana na congestion na inefficiencies ya bandari za south afrika Both bandari ya Dar na Mombasa zimeshuhudia ongezeko la meli zilizotarajiwa kudock kwenye bandari hizo.
"With the suspension of Durban and increased congestion in other South African ports, Mombasa and Dar es Salaam ports have registered increased vessels scheduled to dock in the next 15 days".
👉 Lakini kitu ambacho kinasikitisha ni wewe kubeba mstari mmoja tu wa article nzima tena yakiwa ni maoni ya KPA Managing Director na akifanya reference ya Meli moja tu inasema :-
"according to Kenya Ports Authority (KPA), some ships destined for Tanzania are now being diverted to Mombasa port.
Last week, MV Jolly Oro, which was expected to offload its cargo in Dar es Salaam docked at Mombasa to discharge 510 containers belonging to Tanzanian importers", KPA Managing Director Capt William Ruto said.
Haya ni maneno ya propaganda kabisa, hayana verification ya number.
👉 Mombasa hawawezi kuwa na Congestion sababu hawana biashara, bandari yetu inabiashara ndio maana meli zinakuja na zinaongezeka siyo laana ni fursa. Ni eneo la kimkakati umbali kutoka landlocked countries, kuendelea kuboreshwa kwa Miundombinu, upatikanaji wa mizigo ya kuexport n.k
👉Acha porojo tazama ukweli, tena inaoneka hujasoma hiyo article