Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSMView attachment 2886233

mamlaka ya Mapato nchini TRA tufahamu kwamba wastani wa asilimia 40 ya makusanyo hayo yanatokana na ushuru wa forodha unaotokana na bandari ya DSM.
Ngonjera nyingi lakini hakuna content. Efficiency ya bandari haipimwi kwa ni meli ngapi ziko zinapakuliwa kwa wakati fulani.

Instead efficiency ya bandari hupimwa kwa idadi ya siku/ masaa ambayo meli huchukua kupakuliwa baada ya kufika bandarini (turnaround time)
 
Kwahiyo msa wametuzidi au tumewazidi?
Soma hii ni taarifa ya Desemba 2023 kuhusu superiority ya Mombasa Port dhidi ya Dar Port. Alone na PendoLyimo
Screenshot_20240130_075218_Chrome.jpg
Screenshot_20240130_075250_Chrome.jpg
 
Tunajenga bandari bagamoyo usijali

Ngonjera nyingi lakini hakuna content. Efficiency ya bandari haipimwi kwa ni meli ngapi ziko zinapakuliwa kwa wakati fulani.

Instead efficiency ya bandari hupimwa kwa idadi ya siku/ masaa ambayo meli huchukua kupakuliwa baada ya kufika bandarini (turnaround time)
Yaani uwe na huduma mbaya alafu bado uwe na ongezeko la wateja, utakuwa uchawi basi. Mimeli inaongezeka sababu kuna efficiency, ndio maana pamoja wao kuwa na migati mingi lakini bado tunakula nao sahani moja
 
Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSMView attachment 2886233
utoka .mamlaka ya Mapato nchini TRA tufahamu kwamba wastani wa asilimia 40 ya makusanyo hayo yanatokana na ushuru wa forodha unaotokana na bandari ya DSM.
Ni habari nzuri kwamba meli zinaongezeka ila ni dhahiri kuwa bandari ina magati machache na hii inapunguza uwezo wa bandari juhudumia meli nyingi zaidi. Kumbe tungekuwa na magati 30 tungehudumia meli 30 hivi na kuongeza mapato yetu ya bandari kwa mara mbili na zaidi. Nashangaa kwanini serikali haichangamkii biashara tamu kama hii! Bado kuna siasa katika biashara ya bandari na inashangaza mno!
 
Ndivyo unavyoaminishwa na unaamini?

Tumeambiwa mangapi nchi hii na yanageuka kuwa ubatili?

Anyway, nafahamu wewe ni chawa uko kazini.
DP World itatuongezea ufanisi, hivyo makusanyo ya TRA yataongezeka nchi itafaidika.
 
Duniani kote nchi hujisifu kwa Idadi ya Meli zinazo tia Nanga kupakia mzigo sisi tunajisifu kwa meli zinazo tuletea mizigo ya kuchuuza? Waafrica ni nyani tu
Sisi tunasifu efficiency ya bandari yetu inayopelekea ongezeko la Mimeli na mapato kwa taifa. Tunaihudumia afrika mashariki na kati
 
Soma hii ni taarifa ya Desemba 2023 kuhusu superiority ya Mombasa Port dhidi ya Dar Port. Alone na PendoLyimoView attachment 2887989View attachment 2887990
Number zinakukataa (Zinakusuta)
👇 👇
""cargo volume at Dar es Salaam Port has been increasing by an average of 7.6 per cent annually for the past three years.
In the 2020/21 financial year, the cargo volume was 16,190,906 tonnes, while in 2021/22, it was 18,410,953 tonnes, and in 2022/2023, it reached 21,461,120 tonnes.""

Screenshot_20240130_095049_Chrome.jpg
Screenshot_20240130_095106_Chrome.jpg
 
Yaani uwe na huduma mbaya alafu bado uwe na ongezeko la wateja, utakuwa uchawi basi. Mimeli inaongezeka sababu kuna efficiency, ndio maana pamoja wao kuwa na migati mingi lakini bado tunakula nao sahani moja
Weka takwimu neutral hasa kutoka World Bank, siyo hizo mnaokoteza toka kwenye management/ Board reports
 
Number zinakukataa (Zinakusuta)
👇 👇
""cargo volume at Dar es Salaam Port has been increasing by an average of 7.6 per cent annually for the past three years.
In the 2020/21 financial year, the cargo volume was 16,190,906 tonnes, while in 2021/22, it was 18,410,953 tonnes, and in 2022/2023, it reached 21,461,120 tonnes.""

View attachment 2888074View attachment 2888075
Hii inahusiana nankuongezeka mzigo wa DRC unaopita Dar Port. Haiongelei efficiency
 
Soma hii ni taarifa ya Desemba 2023 kuhusu superiority ya Mombasa Port dhidi ya Dar Port. Alone na PendoLyimoView attachment 2887989View attachment 2887990
👉 Mwandishi anawaquote bandari ya Dar akiwaeleza wateja wake kuwa amezuia kufanya bagging kama measure ya kupunguza msongamano.
"Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility".

👉 Mwisho wa mwaka ni high season ya kibiashara kupitia hiyo article mwandishi anataja bandari za south Afrika zimeexperience Congestio, Djibout n.k
👉 Kutokana na congestion na inefficiencies ya bandari za south afrika Both bandari ya Dar na Mombasa zimeshuhudia ongezeko la meli zilizotarajiwa kudock kwenye bandari hizo.
"With the suspension of Durban and increased congestion in other South African ports, Mombasa and Dar es Salaam ports have registered increased vessels scheduled to dock in the next 15 days".

👉 Lakini kitu ambacho kinasikitisha ni wewe kubeba mstari mmoja tu wa article nzima tena yakiwa ni maoni ya KPA Managing Director na akifanya reference ya Meli moja tu inasema :-
"according to Kenya Ports Authority (KPA), some ships destined for Tanzania are now being diverted to Mombasa port.

Last week, MV Jolly Oro, which was expected to offload its cargo in Dar es Salaam docked at Mombasa to discharge 510 containers belonging to Tanzanian importers", KPA Managing Director Capt William Ruto said.
Haya ni maneno ya propaganda kabisa, hayana verification ya number.

👉 Mombasa hawawezi kuwa na Congestion sababu hawana biashara, bandari yetu inabiashara ndio maana meli zinakuja na zinaongezeka siyo laana ni fursa. Ni eneo la kimkakati umbali kutoka landlocked countries, kuendelea kuboreshwa kwa Miundombinu, upatikanaji wa mizigo ya kuexport n.k

👉Acha porojo tazama ukweli, tena inaoneka hujasoma hiyo article
 
Kwa kifupi Mzee wa KPA anajitekenya alafu anacheka mwenyewe.
 
Hii ni uwongo, ni kitu haiwezekani, meli si gari, mzigo ukishakua destined kwa port flani ni lazima ushushwe pale, kuna mzigo ya transit na ya final destination sasa unapelekaje meli kwengine?
Jibu swali tumewazidi au wametuzidi?
Mombasa Wametuzidi. Hii taarifa iko screen shoted kutoka The East African, huwezi kusema ni uwongo tu kwa sababu inaonyesha udhaifu wenu. Leta authoritative source
 
👉 Mwandishi anawaquote bandari ya Dar akiwaeleza wateja wake kuwa amezuia kufanya bagging kama measure ya kupunguza msongamano.
"Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility".

👉 Mwisho wa mwaka ni high season ya kibiashara kupitia hiyo article mwandishi anataja bandari za south Afrika zimeexperience Congestio, Djibout n.k
👉 Kutokana na congestion na inefficiencies ya bandari za south afrika Both bandari ya Dar na Mombasa zimeshuhudia ongezeko la meli zilizotarajiwa kudock kwenye bandari hizo.
"With the suspension of Durban and increased congestion in other South African ports, Mombasa and Dar es Salaam ports have registered increased vessels scheduled to dock in the next 15 days".

👉 Lakini kitu ambacho kinasikitisha ni wewe kubeba mstari mmoja tu wa article nzima tena yakiwa ni maoni ya KPA Managing Director na akifanya reference ya Meli moja tu inasema :-
"according to Kenya Ports Authority (KPA), some ships destined for Tanzania are now being diverted to Mombasa port.

Last week, MV Jolly Oro, which was expected to offload its cargo in Dar es Salaam docked at Mombasa to discharge 510 containers belonging to Tanzanian importers", KPA Managing Director Capt William Ruto said.
Haya ni maneno ya propaganda kabisa, hayana verification ya number.

👉 Mombasa hawawezi kuwa na Congestion sababu hawana biashara, bandari yetu inabiashara ndio maana meli zinakuja na zinaongezeka siyo laana ni fursa. Ni eneo la kimkakati umbali kutoka landlocked countries, kuendelea kuboreshwa kwa Miundombinu, upatikanaji wa mizigo ya kuexport n.k

👉Acha porojo tazama ukweli, tena inaoneka hujasoma hiyo article
Hangaika na sentensi hii hapa:

"Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility"
 
Back
Top Bottom