Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado unahitaj Mwamposa akuambie China ndo mkorofi ?Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.
Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?
View attachment 3244285
Chinese exercises 150km from Sydney
Ikumbukwe kuwa Australia ndiyo ilitangulia kupeleka spy plane karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China kulingana na maagizo ya Marekani.
View attachment 3244316
Aussie dont dare to play with South China Sea anytime
Wakati wa mazoezi hayo ya jeshi la Navy la China, ndege zinazosafiri kati ya Australia na New Zealand zimelazimika kufuta safari au ku-divert route kwa sababu za kiusalama.
Siku ya Alhamisi, idara ya ulinzi ya Australia ilisema meli za China zilionekana maili 150 (kilomita 276) kutoka Sydney, ndani ya eneo la kipekee la kiuchumi la Australia. Leo Ijumaa zimeanza kufanya "live drill fire."
Maofisa wa Australia wameanza kuwatafuta wenzao wa China ili kuwe na mazungumzo kuhusu hilo.
Australia imeuliza China kwa nini inafanya mazoezi ya moto kati ya Australia na New Zealand, na kwa nini ilani zaidi haikutolewa ili kuepusha usumbufu kwa ndege za kibiashara.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Guo Jiakun amesema kuwa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Navy la China ilipanga kundi la meli hizo kufanya mazoezi na mafunzo ya mbali ya baharini.
"Mazoezi haya daima yamekuwa yakifanywa kwa usalama, kwa njia iliyosawazishwa na kitaaluma, na kwa mujibu wa sheria ya kimataifa."
– Guo Jiakun
Haijafahamika iwapo mazoezi hayo yamekamilika au bado. Mpaka sasa Jeshi la China halijasema chochote kuhusu hilo.
Haya mataifa ambayo ni vibaraka wa Marekani wajifunze yaliyowakuta Ukraine. Ngoja tuone baada ya hili onyo kama watarudia kupeleka spy planes kwenye eneo la South China Sea.
China hana madhara
Ukorofi wa China uko wapi hapo?bado unahitaj Mwamposa akuambie China ndo mkorofi ?
Makubaliano yapi?Ukraine ilikuwa inaelekea kuvunja makubaliano na Russia
Wala huhitaji kudanganywa ili usiipende CCP ya China, Hakuna binadamu mwenye akili timamu atakayechagua kuishi au kufungamana na mfumo wa ukandamizaji dhidi ya mfumo huru.Marekani anapenda sana kuwapotosha vibaraka wake wa Indo-Pacific na the Far East Asia waichokoze China
Huwa anawaaminisha kuwa China ni adui yao. Na kwa sababu China inazidi kuimarisha jeshi lake na kulifanya modern anawaambia China inajipanga kufanya expansionism kwenye ukanda wa Indo-Pacific
Anamuahidi kibaraka wake kumpa ulinzi, anafungua military base na kupeleka American troops
Kisha anaanza kumuuzia silaha huku akimdanganya kibaraka wake kuwa atamlinda dhidi ya China
Hayo ndiyo mambo Marekani anayofanya kwa it's vassal states kama Philippines, Japan, South Korea, Taiwan na Australia.
Anawauzia sana silaha kijanja akiwaaminisha kuwa China ni taifa hatari wanataka kuitawala Far East na Indo-Pacific
Anawaingiza katika security partnership and agreement mfano AUKUS (Aus, UK, US)
Kuna The Mutual Defense Treaty kati ya Marekani na Philippines
Sasa hivi wapo kwenye mchakato wa trilateral agreement na Japan & South Korea
Ila siku taifa lolote kati ya hayo likijichanganya kuingia vitani na China ndipo watakaposhangaa Marekani ikiwa haina msaada wowote kwao
Ukiingia kwenye vita akaona unaelekea kushindwa Marekani anakukimbia kama alivyofanya kwa Ukraine
Japan, South Korea na Philippines ni Liberal states, haziwezi kufungamana na China yenye mfumo wa kiimla dhidi ya Marekani ambayo ni taifa Liberal na tajiri.Japan, South Korea, Philippines wangechagua upande wa China.
Haya mataifa ya Asia kama China, S.K, Japan, N.K, India n.k halafu imagine na Russia nayo iwe upande wao
Yangekuwa kitu kimoja Marekani hasingekuwa na influence eneo la Indo-Pacific na kungekuwa na balance of power kwenye huo ukanda.
Kukiwa na balance of power inachangia sana amani na utulivu duniani
Na Marekani anajua kuwa hayo mataifa kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi yakiungana ushawishi wake upande wa Indo-Pacific lazima upotee
Ndio maana anafanya juu chini kupandikiza uadui hasa kati ya mataifa hayo na China na anataka kuyatumia to containing China's influence in Indo-Pacific region
Japan, South Korea na Philippines ni Liberal states, haziwezi kufungamana na China yenye mfumo wa kiimla dhidi ya Marekani ambayo ni taifa Liberal na tajiri.
Wala huhitaji kudanganywa ili usiipende CCP ya China, Hakuna binadamu mwenye akili timamu atakayechagua kuishi au kufungamana na mfumo wa ukandamizaji dhidi ya mfumo huru.
Huwezi kulazamisha kupendwa, ukilazimisha ndio inabidi uwe mvamizi kama Russia kwa uvamizi wa Ukraine.Hayo mataifa yote ni makoloni ya Marekani huwezi kuyafananisha na taifa huru kama China
Liberal kitu gani China limekuwa taifa la pili kiuchumi duniani na industrial superpower kupitia Socialism with Chinese characteristics
Huwezi kulazamisha kupendwa, ukilazimisha ndio inabidi uwe mvamizi kama Russia kwa uvamizi wa Ukraine.
Ukorofi wa China ni huu.Ukorofi wa China uko wapi hapo?
Makoloni kwa vipi? Kuna tofauti gani mataifa hayo na China?Hayo mataifa yote ni makoloni ya Marekani huwezi kuyafananisha na taifa huru kama China
Liberal kitu gani China limekuwa taifa la pili kiuchumi duniani na industrial superpower kupitia Socialism with Chinese characteristics
Makoloni kwa vipi? Kuna tofauti gani mataifa hayo na China?
Ni kama US alivyozidanganya EU countries kupambana na Russia kwenye mgogoro wa Ukraine sasa amejitoa na kuziachia mzigo wa kuisaidia Ukraine.
Sasa EU zinatafutana hazijui zifanyeje.
Hata israeli walijua iko salama na mifumo yao kedekede na mwembe za CNN israel airdefence is inpanetratable .. na sisi wabongo tukaanza kuimba the same songs israel israel .. mpaka walivyodundwa na dunia ikaamkaMarekani anapenda sana kuwapotosha vibaraka wake wa Indo-Pacific na the Far East Asia waichokoze China
Huwa anawaaminisha kuwa China ni adui yao. Na kwa sababu China inazidi kuimarisha jeshi lake na kulifanya modern anawaambia China inajipanga kufanya expansionism kwenye ukanda wa Indo-Pacific
Anamuahidi kibaraka wake kumpa ulinzi, anafungua military base na kupeleka American troops
Kisha anaanza kumuuzia silaha huku akimdanganya kibaraka wake kuwa atamlinda dhidi ya China
Hayo ndiyo mambo Marekani anayofanya kwa it's vassal states kama Philippines, Japan, South Korea, Taiwan na Australia.
Anawauzia sana silaha kijanja akiwaaminisha kuwa China ni taifa hatari wanataka kuitawala Far East na Indo-Pacific
Anawaingiza katika security partnership and agreement mfano AUKUS (Aus, UK, US)
Kuna The Mutual Defense Treaty kati ya Marekani na Philippines
Sasa hivi wapo kwenye mchakato wa trilateral agreement na Japan & South Korea
Ila siku taifa lolote kati ya hayo likijichanganya kuingia vitani na China ndipo watakaposhangaa Marekani ikiwa haina msaada wowote kwao
Ukiingia kwenye vita akaona unaelekea kushindwa Marekani anakukimbia kama alivyofanya kwa Ukraine
hawana madhara yoyote walishia kukata mauno wakati wa ziara ya Nancy Pelosi huku wakiwa wameshatoa maneno ambayo nyie pro china mliamini kabisa Pelosi hatii mguu Taiwan, na hata angejaribu angezuiwa matokeo yake yakawa tofauti. China ni mikwara mingi tu aanzishe vita akose masoko ya kuuza bidhaa zake then wachina wakale wapi?Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.
Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?
View attachment 3244285
Chinese exercises 150km from Sydney
Ikumbukwe kuwa Australia ndiyo ilitangulia kupeleka spy plane karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China kulingana na maagizo ya Marekani.
View attachment 3244316
Aussie dont dare to play with South China Sea anytime
Wakati wa mazoezi hayo ya jeshi la Navy la China, ndege zinazosafiri kati ya Australia na New Zealand zimelazimika kufuta safari au ku-divert route kwa sababu za kiusalama.
Siku ya Alhamisi, idara ya ulinzi ya Australia ilisema meli za China zilionekana maili 150 (kilomita 276) kutoka Sydney, ndani ya eneo la kipekee la kiuchumi la Australia. Leo Ijumaa zimeanza kufanya "live drill fire."
Maofisa wa Australia wameanza kuwatafuta wenzao wa China ili kuwe na mazungumzo kuhusu hilo.
Australia imeuliza China kwa nini inafanya mazoezi ya moto kati ya Australia na New Zealand, na kwa nini ilani zaidi haikutolewa ili kuepusha usumbufu kwa ndege za kibiashara.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Guo Jiakun amesema kuwa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Navy la China ilipanga kundi la meli hizo kufanya mazoezi na mafunzo ya mbali ya baharini.
"Mazoezi haya daima yamekuwa yakifanywa kwa usalama, kwa njia iliyosawazishwa na kitaaluma, na kwa mujibu wa sheria ya kimataifa."
– Guo Jiakun
Haijafahamika iwapo mazoezi hayo yamekamilika au bado. Mpaka sasa Jeshi la China halijasema chochote kuhusu hilo.
Haya mataifa ambayo ni vibaraka wa Marekani wajifunze yaliyowakuta Ukraine. Ngoja tuone baada ya hili onyo kama watarudia kupeleka spy planes kwenye eneo la South China Sea.
Umesema vyemaHata israeli walijua iko salama na mifumo yao kedekede na mwembe za CNN israel airdefence is inpanetratable .. na sisi wabongo tukaanza kuimba the same songs israel israel .. mpaka walivyodundwa na dunia ikaamka