Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #41
hawana madhara yoyote walishia kukata mauno wakati wa ziara ya Nancy Pelosi huku wakiwa wameshatoa maneno ambayo nyie pro china mliamini kabisa Pelosi hatii mguu Taiwan, na hata angejaribu angezuiwa matokeo yake yakawa tofauti. China ni mikwara mingi tu aanzishe vita akose masoko ya kuuza bidhaa zake then wachina wakale wapi?
Halafu china ni nani mpaka iipangie Australia cha kufanya? thinking za kikomunisti ni ushetani mtupu aisee
Hivi kweli kuna taifa lolote duniani linaweza kufanya tangazo hadharani kama hilo?
Hata Israel na uadui wake na Iran haiwezi kufanya hivyo. Acheni habari za kipropaganda na za kitoto
Marekani mwenyewe inakubali kuwa Taiwan ni sehemu ya China na hawana diplomatic relationship na Taiwan wanakubaliana na "One China Policy"
Hakukuwa na jipya kwenye safari ya Pelosi kwenda Taiwan. Tangu Pelosi ameenda Taiwan kuna lolote jipya? Nothing, bado Marekani wanasupport One China Principle