Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

bado unahitaj Mwamposa akuambie China ndo mkorofi ?
 
China hana madhara
"The greatest victory is that which requires no battle."

"Victorious warriors win first and then go to war, while defeated warriors go to war first and then seek to win."

"The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting."

"Supreme excellence consists of breaking the enemy's resistance without fighting."

–Sun Tzu (Chinese general and strategist)
 
Ni wakati wa kila nchi sasa kumiliki nuclear, undava kila kona
 
Wala huhitaji kudanganywa ili usiipende CCP ya China, Hakuna binadamu mwenye akili timamu atakayechagua kuishi au kufungamana na mfumo wa ukandamizaji dhidi ya mfumo huru.
 
Japan, South Korea na Philippines ni Liberal states, haziwezi kufungamana na China yenye mfumo wa kiimla dhidi ya Marekani ambayo ni taifa Liberal na tajiri.
 
Japan, South Korea na Philippines ni Liberal states, haziwezi kufungamana na China yenye mfumo wa kiimla dhidi ya Marekani ambayo ni taifa Liberal na tajiri.
Hayo mataifa yote ni makoloni ya Marekani huwezi kuyafananisha na taifa huru kama China

Liberal kitu gani China limekuwa taifa la pili kiuchumi duniani na industrial superpower kupitia Socialism with Chinese characteristics
 
Wala huhitaji kudanganywa ili usiipende CCP ya China, Hakuna binadamu mwenye akili timamu atakayechagua kuishi au kufungamana na mfumo wa ukandamizaji dhidi ya mfumo huru.
Mataifa mengi yamekubali kufungamana na BRI

Marekani ilijaribu kuanzisha Build Back Better World au B3W Initiatives dhidi ya BRI lakini ikabuma

Kwa sasa China ndiyo trade prtner mkubwa wa Latin America bara ambalo kwa miaka mingi trade partner wao mkubwa alikuwa Marekani

Ushawishi wa China ni mkubwa sana duniani hii ni mifano kadhaa
  • BRI (Belt and Road Initiatives hii ni worldwide)​
  • BRICS (Hii ni worldwide. Inazidi kupata ushawishi na new member countries wanataka kujiunga)​
  • FOCAC (Forum on China-Africa Cooperation)​
  • CASCF (China-Arab States Cooperation)​
  • SCO (Shanghai Cooperation Organisation. China, Eurasia countries)​
  • China-LAC Summit (China Latin America Summit)​
  • ASEAN-China SOM-DOC (China, South East Asian countries)​
  • China-Central Asia Summit (China, Kazakhstan, Turkimenistan, Kyrgyzstan, Uzbekistan & Tajikistan)​
 
Hayo mataifa yote ni makoloni ya Marekani huwezi kuyafananisha na taifa huru kama China

Liberal kitu gani China limekuwa taifa la pili kiuchumi duniani na industrial superpower kupitia Socialism with Chinese characteristics
Huwezi kulazamisha kupendwa, ukilazimisha ndio inabidi uwe mvamizi kama Russia kwa uvamizi wa Ukraine.
 
Huwezi kulazamisha kupendwa, ukilazimisha ndio inabidi uwe mvamizi kama Russia kwa uvamizi wa Ukraine.
Kati ya Russia na Marekani ni taifa lipi linaongoza kwa kuvamia mataifa mengine?
 
Ukorofi wa China uko wapi hapo?
Ukorofi wa China ni huu.
 
Hayo mataifa yote ni makoloni ya Marekani huwezi kuyafananisha na taifa huru kama China

Liberal kitu gani China limekuwa taifa la pili kiuchumi duniani na industrial superpower kupitia Socialism with Chinese characteristics
Makoloni kwa vipi? Kuna tofauti gani mataifa hayo na China?
 
Ni kama US alivyozidanganya EU countries kupambana na Russia kwenye mgogoro wa Ukraine sasa amejitoa na kuziachia mzigo wa kuisaidia Ukraine.
Sasa EU zinatafutana hazijui zifanyeje.
 
Makoloni kwa vipi? Kuna tofauti gani mataifa hayo na China?
China ni sovereign state mfano hamna military bases za Marekani nchini China

Japan, S.K na Philippines wameruhusu military bases za Marekani na troops katika mataifa yao, hawana military command na economically wako controlled na Marekani
 
Ni kama US alivyozidanganya EU countries kupambana na Russia kwenye mgogoro wa Ukraine sasa amejitoa na kuziachia mzigo wa kuisaidia Ukraine.
Sasa EU zinatafutana hazijui zifanyeje.
Umesema vyema, Marekani sio taifa la kuliamini hata kidogo

"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal."
Henry Kissinger (Former U.S Secretary of State)
 
Hata israeli walijua iko salama na mifumo yao kedekede na mwembe za CNN israel airdefence is inpanetratable .. na sisi wabongo tukaanza kuimba the same songs israel israel .. mpaka walivyodundwa na dunia ikaamka
 
hawana madhara yoyote walishia kukata mauno wakati wa ziara ya Nancy Pelosi huku wakiwa wameshatoa maneno ambayo nyie pro china mliamini kabisa Pelosi hatii mguu Taiwan, na hata angejaribu angezuiwa matokeo yake yakawa tofauti. China ni mikwara mingi tu aanzishe vita akose masoko ya kuuza bidhaa zake then wachina wakale wapi?
Halafu china ni nani mpaka iipangie Australia cha kufanya? thinking za kikomunisti ni ushetani mtupu aisee
 
Hata israeli walijua iko salama na mifumo yao kedekede na mwembe za CNN israel airdefence is inpanetratable .. na sisi wabongo tukaanza kuimba the same songs israel israel .. mpaka walivyodundwa na dunia ikaamka
Umesema vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…