sasa muuwe na hao baharia wa kijapani ili kunogee
 
Unajua Waziri Mkuu wa Kwanza wa Israel, Menachem begin alikuwa ni Gaidi? Sio gaidi kama Mandela, Gaidi halisi kama Osama!!
Ndo walikupiga Kamba hiyo madrasa ? waziri mkuu wa kwanza Israel ni David Ben gurion
 
Ila "merekani" shenzi sana wajapan walikua ngangari wabishi kinoma ukisikia banzai charge watu wanakuja kama mazombie leo hii japan mchele si mchele tende si tende
 
Muda mfupi uliopita kiongozi wa wanamgambo wa Houth wa nchini Yemen wameteka meli yenye bendera ya Israel kusini mwa bahari nyekundu iliyokuwa ikielekea bahari ya mediteranean.

Kiongozi wa Houth amethibitisha hilo na kusema ni katika juhudi zao za kupambana na Israel inayoua watoto na akinamama huko Gaza.

Kabla ya leo wanamgambo hao wamewahi kurusha makombora kuelekea kusini ya Israel kwa lengo hilo hilo.

Hilo lemetokea leo wakati makombora kadhaa yamerushwa kwa mara nyengine katikati ya Israel kutoka Gaza na ambako mapigano makali yameripotiwa huko kaskazini ya eneo la Gaza.

Chanzo ni mtandao wa Aljazeera.

Habari zaidi tutawaletea baadae.
 
Ni suala la muda USA atasogeza merivita pale red sea na anayetafutwa ni Iran, Kwa sababu ameshatangaza kuiangamiza Israel na USA, Sasa hawawezi kumsubiri mpaka awe na nuclear.
 
Yemen naona ana ng'ang'ania haswa kupigana na Israel i want problem... wacha tuone wanaoshangilia kule press tv yaani wana furaha haswa.. let wait tutafute popcorn zetu tusubiri movie... Ujanja wa Magaidi kwa sasa ni kukamata raia wa nje... maana hamna Myahudi hata mmoja kwenye hiyo cargo ship
 
Sawa.
Israel imesikika ikiilalamikia Iran kuwa ndio waliohusika juu ya kwamba tangazo limetoka kwa makamanda wa Yemen
Israel inasema hiyo meli si mali yao peke yao.Inaimiliki na washirika wenzako.
Yemen bwana wake ni Iran ila Iran atapatikana tu lets wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…