Meli ya Israel yatekwa Yemen
Uganda wateka meli ya bahresa wa Tanzania.

hayaa mashehe na hili mtapokea kichapo kuteka meli ya muekezaji wa israel ila msilie lie.
 
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update

Israeli media confirmed that Houthis attacked a ship that is partially owned by an Israeli company and now have control of it.

The source claimed that there were no Israelis on the ship - only Japanese.

RiseGSView attachment 2818835
Meli hata sio ya muisrael wala hakuna myahudi ndani yake?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update

Israeli media confirmed that Houthis attacked a ship that is partially owned by an Israeli company and now have control of it.

The source claimed that there were no Israelis on the ship - only Japanese.

RiseGSView attachment 2818835
1700417420703.png
 
Ukishakuwa muislam ugaidi unakuwa rohoni mwako

Usidanganyike hakuna mabikira
Mimi ninamuona anayewaza kama wewe kuwa ni mtu mjinga.kwa sababu magaidi wote wametengenezwa na Marekani na ushahidi umo hata osama alikuwa kijana wa CIA.mimi ni mkristo lakini najua hakuna watu wapenda amani na wachamungu kama waislamu.
 
Kwaiyo Mjapani sikuhizi anatengeneza Magari aina hizo kwenye hiyo Ship? hadi Humvee.

Nyie Waislam acheni ujinga hadi France anasema yupo tayari kuchukua wagonjwa wote awatibie Ufaransa nyie kazi yenu kupiga kelele kwenye Keyboard
We nikikueleza unauchizi flani huamini, kwani Japan hanunui silaha za America, sa ajabu ipi akizipeleka Israel si lazima awe anatengeneza, mbona Poland walimpa Mig 29 Ukraine kwani wao wanizitengeneza.

Akili zako daima zipo ndani ya box hazifunguki kwenda nje ya box.
 
Ukishakuwa muislam ugaidi unakuwa rohoni mwako

Usidanganyike hakuna mabikira
Mimi ninamuona anayewaza kama wewe kuwa ni mtu mjinga.kwa sababu magaidi wote wametengenezwa na Marekani na ushahidi umo hata osama alikuwa kijana wa CIA.mimi ni mkristo lakini najua hakuna watu wapenda amani na wachamungu kama waislamu.
 
Taifa teule limeanza kujitetea,Ndo ishatiwa kwapani.
Washushe mizigo yote waangalie inayowafaa watumie.Hizo ni ngawira za kivita.
Halafu wawaambie na ni mwanzo tu huu mpaka msitishe vita.
Tusubiri huenda na wanamgambo wa Alshabaab na kule Saudia huenda wakaungana na wenzao mpaka biashara za israel zisimame kabisa.
Nchi yeyenyewe haina rasilimali yoyote ya maana lakini jeuri kweli kweli.
 
Back
Top Bottom