Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Tusubirie mshindi atatangazwaKama wamekimbia mbona bado wazidi kuwatandika na vifaru vyao [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubirie mshindi atatangazwaKama wamekimbia mbona bado wazidi kuwatandika na vifaru vyao [emoji1787]
Siku zote vita haina mshindi siyo football hiiTusubirie mshindi atatangazwa
Waitie kiberiti eeh? Wakianza kutiwa wao kiberiti msije mbio mbio na midomo mirefu kama sindanoHao Wajapani wawaachie waende zao, ila hiyoo meli waitie kiberiti
sasa muuwe na hao baharia wa kijapani ili kunogeeMeli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update
Israeli media confirmed that Houthis attacked a ship that is partially owned by an Israeli company and now have control of it.
The source claimed that there were no Israelis on the ship - only Japanese.
RiseGSView attachment 2818835
Cha ajabu tena kwao tanzania hakuna vitaMbona na wewe upo Tanzania na una njaa?
Ndo walikupiga Kamba hiyo madrasa ? waziri mkuu wa kwanza Israel ni David Ben gurionUnajua Waziri Mkuu wa Kwanza wa Israel, Menachem begin alikuwa ni Gaidi? Sio gaidi kama Mandela, Gaidi halisi kama Osama!!
Ikipigwa mnada labda waifungie isitoke ikae maonesho tu. Ikitoka wanayoWajapani wataachiwa ila meli itapigwa mnada
Kipigo cha leo hicho, mtu anaenda mpaa kwenye kifaru nyie mnajinyea kwenye pampers hi aibu mtaificha wapi
View: https://youtu.be/txyL1w8awbU?si=vdP2lNi3rMOqH-_V
Baadae msije kutia hurumaHata wa Japan wanamsaidia Israel piga risasi tu
Wanaume wametimkia kwenye mapango kama panya kudadekKama yeye kidume apigane na wanaume sasa siyo na wanawake na watoto.
Eeh na bado wanawawashia moto ile mbaya na tanks zaoWanaume wametimkia kwenye mapango kama panya kudadek
Ni suala la muda USA atasogeza merivita pale red sea na anayetafutwa ni Iran, Kwa sababu ameshatangaza kuiangamiza Israel na USA, Sasa hawawezi kumsubiri mpaka awe na nuclear.[emoji298]️[emoji839] Tel Aviv is investigating the #Yemen-i seizure of an (Israeli) cargo ship in the Red Sea.
[emoji298]️ A leader in the Ansar Allah group, the #Yemeni Armed Forces: Our forces took an #Israeli ship to the shores of #Yemen
[emoji298]️#Israeli journalist, Doron Kadosh: More details about the hijacked ship: The #Israeli relationship with the ship is somewhat indirect, as it was chartered from a British company to a Japanese company, and the British company is partly owned by #Israeli businessman Rami Unger; According to him.View attachment 2818840
Sawa.Kitambo sana
Taifa teule limeanza kujitetea,Ndo ishatiwa kwapani.Israel inasema hiyo meli si mali yao peke yao.
Yemen bwana wake ni Iran ila Iran atapatikana tu lets waitSawa.
Israel imesikika ikiilalamikia Iran kuwa ndio waliohusika juu ya kwamba tangazo limetoka kwa makamanda wa Yemen
Israel inasema hiyo meli si mali yao peke yao.Inaimiliki na washirika wenzako.