Acha kutetea magaidi
 
Unajua maana ya meli kuwa na bendera ya nchi fulani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nini maoni Yako kikiwaka kati ya Israel na Yemen?
Me maoni yangu Yemen wautangazie ulimwengu kuwa wanajiweza na wale wapumbavu wa kuandamana watulie or else kama anavyosema Netanyahu...
 
VIPI ILE MELI ILIYOTEKWA NA IRANI YENYE BENDERA YA TANZANIA VIPI???
AU HILO HUJUI ALWAZ??
MELI INA BENDERA YA ISRAEL AFU MABAHARIA NA WAMILIKI WAHINDI 🤣🤣🤣
 
Hii vita ya ya magaidi hamasi na watoto tundu wa Israeli, ni mwanzo tu kabla vita haijapanuka na kuwa vita vya 3 vya Dunua
 
SI ULISEMA IDF MASHOGA HAWAWEZI KUINGIA GAZA
 
Mjapani huyo anapeleka silaha Israel, afu kuna watu wanasema wawachiwe. Hao ni kupiga risasi kabisa
Kwaiyo Mjapani sikuhizi anatengeneza Magari aina hizo kwenye hiyo Ship? hadi Humvee.

Nyie Waislam acheni ujinga hadi France anasema yupo tayari kuchukua wagonjwa wote awatibie Ufaransa nyie kazi yenu kupiga kelele kwenye Keyboard
 
wanachokitafuta Houthi watakipata, wenzao Hezbullah jana usiku mzima wameanza kuonja joto la jiwe.
 
Sawa.
Israel imesikika ikiilalamikia Iran kuwa ndio waliohusika juu ya kwamba tangazo limetoka kwa makamanda wa Yemen
Israel inasema hiyo meli si mali yao peke yao.Inaimiliki na washirika wenzako.
Kitanuka soon
 
Hao jamaa wanahangaika kweli lakini Israel ni kama imewaweka kiporo hivi...

Kama wanataka vita hao jamaa wacross tu border wajisogeze ndani ya ardhi ya Israel...

Kuendelea kupiga kelele wakiwa kwenye ardhi ya Yemen ni sawa na mbwa muoga anayebweka ndani ya fensi...

Wanajua kabisa Israel hawezi peleka operesheni yeyote ya kijeshi ndani ya Yemen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…