chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Meli hata sio ya muisrael wala hakuna myahudi ndani yake?Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update
Israeli media confirmed that Houthis attacked a ship that is partially owned by an Israeli company and now have control of it.
The source claimed that there were no Israelis on the ship - only Japanese.
RiseGSView attachment 2818835
Bado hamjasema😂
Israel huna ubavu kwa Yemen siwalisha kumutwa wote yeye na America walikuwa wakimsaidia Saud ArabiaBaadae msije kutia huruma
ilikuwa inapeleka silaha Israel na Israel kakiri ni meli yake we nani ubisheMeli hata sio ya muisrael wala hakuna myahudi ndani yake?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Marekani na wazungu wenzie wamekwapua meli ngapi za watu!?..wao siyo magaidi!?Ukishakuwa muislam ugaidi unakuwa rohoni mwako
Usidanganyike hakuna mabikira
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update
Israeli media confirmed that Houthis attacked a ship that is partially owned by an Israeli company and now have control of it.
The source claimed that there were no Israelis on the ship - only Japanese.
RiseGSView attachment 2818835
wewe mshabiki mandazi utajua nini.Meli hata sio ya muisrael wala hakuna myahudi ndani yake?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Mimi ninamuona anayewaza kama wewe kuwa ni mtu mjinga.kwa sababu magaidi wote wametengenezwa na Marekani na ushahidi umo hata osama alikuwa kijana wa CIA.mimi ni mkristo lakini najua hakuna watu wapenda amani na wachamungu kama waislamu.Ukishakuwa muislam ugaidi unakuwa rohoni mwako
Usidanganyike hakuna mabikira
Mkong'oto tu kila wajomba wa mungu wako wanapoingia 18 za wapigania uhuru:
We nikikueleza unauchizi flani huamini, kwani Japan hanunui silaha za America, sa ajabu ipi akizipeleka Israel si lazima awe anatengeneza, mbona Poland walimpa Mig 29 Ukraine kwani wao wanizitengeneza.Kwaiyo Mjapani sikuhizi anatengeneza Magari aina hizo kwenye hiyo Ship? hadi Humvee.
Nyie Waislam acheni ujinga hadi France anasema yupo tayari kuchukua wagonjwa wote awatibie Ufaransa nyie kazi yenu kupiga kelele kwenye Keyboard
Yemen wamefanya kazi nzuri sana ni mfano wa kuigwaMjapani huyo anapeleka silaha Israel, afu kuna watu wanasema wawachiwe. Hao ni kupiga risasi kabisa
Mimi ninamuona anayewaza kama wewe kuwa ni mtu mjinga.kwa sababu magaidi wote wametengenezwa na Marekani na ushahidi umo hata osama alikuwa kijana wa CIA.mimi ni mkristo lakini najua hakuna watu wapenda amani na wachamungu kama waislamu.Ukishakuwa muislam ugaidi unakuwa rohoni mwako
Usidanganyike hakuna mabikira
Gaidi tulia dawa iingieMeli hata sio ya muisrael wala hakuna myahudi ndani yake?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Washushe mizigo yote waangalie inayowafaa watumie.Hizo ni ngawira za kivita.Taifa teule limeanza kujitetea,Ndo ishatiwa kwapani.
Sasa mbona unapanic 🤣Utetezi upi hapo nimeweka? when you talk to me use your brain usije kama foolish
Washushe mizigo yote waangalie inayowafaa watumie.Hizo ni ngawira za kivita.Taifa teule limeanza kujitetea,Ndo ishatiwa kwapani.
Waendelee kuteka hizo meli na kutaifisha hizo silaha na mitambo ya kivita ,hizo ndio zinatumika kufanya ugaidi wa kuua wanawake na watoto kule GazaYemen wamefanya kazi nzuri sana ni mfano wa kuigwa