Dini imeathiri pakubwa uwezo wa asili wa binadamu kufikiri.
Hao Yemen wanajitia vidole wanacheka wenyewe,hawana impact yoyote kwenye hii vita ni kutaka atention tu km na wao wapo.
Waache tu fagia fagia Gaza leo inaisha wasije kuloloma tu hapo badae.
 
Mimi ninamuona anayewaza kama wewe kuwa ni mtu mjinga.kwa sababu magaidi wote wametengenezwa na Marekani na ushahidi umo hata osama alikuwa kijana wa CIA.mimi ni mkristo lakini najua hakuna watu wapenda amani na wachamungu kama waislamu.
Unatumia kipimo gani kufika hitimisho hili?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hao ni magaidi tu kama alshababu
 
Ulitaka Israel wasemeje?
 
Dini imeathiri pakubwa uwezo wa asili wa binadamu kufikiri.
Kabsa,mm pia nlikua mtu wa dini sana lakin nlikuja kugundua too much is harmful,cjui nielezeeje lakin usipo makinika inaweza kudestroy... humanity kwasabab sio wote wanaongoza hizo dini sio wa Mungu
 
Reactions: K11
Kuna wapumbavu humu wanafikiri kola anaye mchukia Israel ni mwisilamu,huo ni ujinga na upotofu wa fikra,mie ni mkristo mkatoliki,lkn naichukia sana Israel juu ya yale inayoyafanya Israel kwa mda mrefu.ni uonevu,unyanyasaji na ukandamizaji mkubwa.wayahudi ni zaidi ya makabulu wa afrika kusini.yeyote yule mpenda haki bira kujali dini yake,anamchukia Israel.
 
Makomandoo wa kizungu waede kuokoa mateka na meli yao au zile muvi zao huwa ni uongo,wanashindwaje kwenda kupambana na hao wanamgambo wa kihuth badala ya kubaki wanalialia kwenye media
 
nadhani wewe ndio mpumbavu kwa kudhania watu ndio wanavyowaza.. fanya kwenza kutafuta maoni ndio uje na results yako bwege we.. Uislam na waislam wanasema waziwazi misikitini na vyombo vya habari kuwa lazima wawasaidie waislam wenzao wa Palestina na sio wa Sudan au huo china ndio jambo la kushangaza
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…