Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

Sasa baada ya kumfyeka libya imepiga hatua ipi kimaendeleo kama gadafi ndiye alikuwa tatizo?!
Libya walikuwa na maendeleo gani ambayo leo hawana, mbona wako vizuri tu na tena sasa hivi ndio wako huru.

Gaddafi alitumia rasilimali za Libya kulea ugaidi na ndio maana wananchi wake wakamuua baada ya kumuasi.
 
Sawa sawa upo sahihi kabisa
 
Libya walikuwa na maendeleo gani ambayo leo hawana, mbona wako vizuri tu na tena sasa hivi ndio wako huru.

Gaddafi alitumia rasilimali za Libya kulea ugaidi na ndio maana wananchi wake wakamuua baada ya kumuasi.
Ulipo mkono wa makafiri dhidi ya waislamu/uislamu utaungana nao. Ipo siku utaelewa
 
Huwa ugomvi wanauanza wao,wakianza kuchapwa utasikia ohoo wanaua watoto na wanawake,ila uzuri wa israel huwa akiamua kufanya lake,hasikilizi kelele za mtu,
Huyo Yemeni Houthi muache hivyo hivyo.
Huyo kumuondoa Yemen USA na Saudi Arabia walimkodia hadi Al qaeda na wakachemka.
Shida yenu wagalatia mnachukulia waarabu wengine ni kama vile Wapalestina yani hawana matumaini wala msaada wala msuli.
Hao ni Houthi sio Hamas mzee.
 
Kwahyo ww unaumia sn hzo meli zinazobeba misaada Kwa Israel hili aendelee kushambulia shule , refugees camp na hospital na Israel vikwazo hvyo vinamuuma sana maana hakuna kinachoingia na vikiingia vinazunguka bara Zima la Africa vikifika Israel bei juu
Wewe alokwambia kwamba hiyo meli imebeba misaada kupeleka Israel ni nani....??? Hapo kwenye bahari nyekundu ni just a way to pass ... Meli inaweza kuwa inaenda sehemu nyingine tu... Ila kwa mawazo mafupi ya watu kama ninyi mnadhani inakwenda Israel...... Nonsense!!!
 
In order to know more about "The Traffic in the Red Sea" you need more than madrassat class for the cretins.
 
Mshirikina wewe shoga wewe mtoto wa kiume unaitwa kapumbu kuna nini zaidi ya Upinde.
Mchawi sana na mshirikina mkubwa.... Kutwa kucha kuwaroga nduguzo.... Hata kusoma hujui.... Lishirikina likubwa wewe....

Na hutoboi nakwambia kwa ushirikina wako.....
 
Back
Top Bottom