Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.