FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Asiyeelewa maana haambiwi maana.Fafanua.... Maana hili wakati sheikh Topeo anaelezea naye hakufafanua hata kidogo. Tukakariri tu hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiyeelewa maana haambiwi maana.Fafanua.... Maana hili wakati sheikh Topeo anaelezea naye hakufafanua hata kidogo. Tukakariri tu hivyo hivyo.
We bwege kweli kweli ,ina maana hujui kwamba hao wajinga wenzio walienda kuchukua mateka na kuua huko kwa wazayuni?Mbona unaongea utumbo mwanzo mwisho?
Mmechukua ardhi yao,mmewaekea vikwazo vya anga na bandari na kuwazunguka na mitutu.
Halafu mnawapa misaada kilazima kwa kuwafunga na hiyo misaada.
Mnataka wawashukuru kivipi??
Ondoeni blockade Gaza upande wa Anga na bahari na muwaache wawe na sovereignty yao MUONE KAMA WATAOMBA MSAADA NA WATATAKA MSAADA WENU.
MNAONGEA UTUMBO WA KIFALA FALA ILHALI MMESHIKILIA UHURU WA WATU KUJITEGEMEA??
We jamaa huwa ni mpumbavu siku zote.We bwege kweli kweli ,ina maana hujui kwamba hao wajinga wenzio walienda kuchukua mateka na kuua huko kwa wazayuni?
Ushafuturu?maana labda nabishana na mtu hajala
We 🦧aliyewatuma kwenda kuua kwenye festival oct 7 nani?We jamaa huwa ni mpumbavu siku zote.
Umeelewa nilichoandika kwanza!?
Ondoeni vizuizi vya ardhi,anga na bahari vilivyowekwa toka 2005 halafu muone kama Gaza itamsumbua mtu.
Hata hizo vurugu za kuteka ni kisasi za kuwavunjia nyumba zao august na september NGURUWE pori wewe.
Kwani nani hajui kama Israel ilianzz ukorofi!?
Hata sijui kwanini nakueleza haya mtu mwenyewe mpumbavu!?
Kama wanifuatilia nimeeleza mahala kwamba kinoendelea Gaza ni mpango wa hawa watu wa magharibi na Marekani kuchukua kwa nguvu (kuiba au kupora) rasilimali iliyopo pembezoni mwa bahari ya Mediterranean ambayo ni mali ya wapalestina.Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
Unadhani nahitaji ubishi wako?Weka akiba ya chakula,maji,silaha na akili ndipo uanzishe mapambano.
Usimezeshwe ujingaujinga na wewe ukameza tu.Israel inatamkwa na imekuwepo tangu zamani hizo na si kuanzia 1948 tu.Je,ukitulia na kujipa ukweli,hiyo Israel ilikuwa sehemu gani hapa duniani kiramani?Vyote ninavyo.
Naanza;
Mosi, Kabla ya mwaka 1948 kulikuwa na Taifa la Uizrael ukanda wa Gaza?
Pili, Haya kama wewe ni mfuatiliaji utagundua Walihurumiwa na kupewa kipande kama Wanadamu na hao hao unaosema Wachokozi waliridhia wazo la UN kusitiri hawa watu ambao hao hao Wazungu waliowapigania wawe na kwao walitamani watoweke Ulimwenguni
(Fuatilia Hitlar alitaka kuwafanya nini na akafanya nini)
Je, kipande walichokatiwa kama Hifadhi yao, ndicho wanachokimiliki hadi sasa? kama sivyo Kwanini?
Ushabiki kwa usichokijua ni Uzwazwa.
Natawasilisha nikiwa na Nondo zaidi na zaid lakini itategemea unajibu nini maana wengine mnanakawaida ya kubisha msichokijua wala kukifuatiliaa, Twende kazi.
Inawezekani ile wanayojenga ni oil rig na wala si bandari.Kama wanifuatilia nimeeleza mahala kwamba kinoendelea Gaza ni mpango wa hawa watu wa magharibi na Marekani kuchukua kwa nguvu (kuiba au kupora) rasilimali iliyopo pembezoni mwa bahari ya Mediterranean ambayo ni mali ya wapalestina.
Israeli ni taifa linotumiwa (client state) kufanya kazi hiyo (ya kupora) na ndo maana kila siku huja na kauli tofautitofauti lakini lengo ni moja tu gesi asilia iliyopo hapo Gaza.
Kwa kuwa gesi ni adimu kwa sasa hivi kwamba Russia imezuia gesi kutoka Nord Stream na pia Iran nayo imezuia gesi yake kubwa, ni lazima itafutwe gesi kutoka sehemu ingine ambayo ni Gaza.
Huu ni mpango wa miaka mingi ilopita walijiwekea hivyo wamezusha hivi vita pamoja na ile ya Ukraine ili wafanye wanotaka kufanya.
Rejea hotuba ya Benjamini Netanyahu UN na pia ipo hotuba au video ya namna mpango mzima wa kujenga miundombinu kadhaa GAza itayokuwa chini ya Israeli.
Usimezeshwe ujingaujinga na wewe ukameza tu.Israel inatamkwa na imekuwepo tangu zamani hizo na si kuanzia 1948 tu.Je,ukitulia na kujipa ukweli,hiyo Israel ilikuwa sehemu gani hapa duniani kiramani?
Sawa mr TENDEguWaislamu hatutaki kuomba na kugaiwa .Sisi ni watu wa kufanya kazi na kula kwa jasho letu.
Waondoke wote kwenye ardhi zetu tulime na tufanye biashara halalli ili tule kwa kazi za mikono yetu.
.Hujanijibu swali hata moja kati ya niliyokualiza.
Busara inaniongoza kusema Itoshe tu kusema kuwa hupo tayari kwa majadilianoya kupitia Hoja.
Kwaheri.
Ardhi zenu zipi wewe mswahili wa tandahimba mpuuzi kabisaWaislamu hatutaki kuomba na kugaiwa .Sisi ni watu wa kufanya kazi na kula kwa jasho letu.
Waondoke wote kwenye ardhi zetu tulime na tufanye biashara halalli ili tule kwa kazi za mikono yetu.