Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza. Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

Tabu hii yote kasababisha HAMAS na cha ajabu wala haguswi.

Hamasi aliomba vita na Waisraeli na Waislamu walifurahia.
Madhira yanayowakuta raia kwa sasa analaumiwa Mwisraeli.

Hivi hakukuwa na njia yoyote ya kufanya hadi Hamas waamue kuuwa, kuteka na kuwatesa Waisraeli wasio na Hatia ?

Kwanini kama wanaonewa wangetumia mazungumzo?

Lawama zote ni kwa Hamas kujifanya wababe na kuishia kujificha mapangoni.
 
Mbona unaongea utumbo mwanzo mwisho?
Mmechukua ardhi yao,mmewaekea vikwazo vya anga na bandari na kuwazunguka na mitutu.
Halafu mnawapa misaada kilazima kwa kuwafunga na hiyo misaada.
Mnataka wawashukuru kivipi??
Ondoeni blockade Gaza upande wa Anga na bahari na muwaache wawe na sovereignty yao MUONE KAMA WATAOMBA MSAADA NA WATATAKA MSAADA WENU.
MNAONGEA UTUMBO WA KIFALA FALA ILHALI MMESHIKILIA UHURU WA WATU KUJITEGEMEA??
We bwege kweli kweli ,ina maana hujui kwamba hao wajinga wenzio walienda kuchukua mateka na kuua huko kwa wazayuni?
Ushafuturu?maana labda nabishana na mtu hajala
 
We jamaa huwa ni mpumbavu siku zote.
Umeelewa nilichoandika kwanza!?
Ondoeni vizuizi vya ardhi,anga na bahari vilivyowekwa toka 2005 halafu muone kama Gaza itamsumbua mtu.
Hata hizo vurugu za kuteka ni kisasi za kuwavunjia nyumba zao august na september NGURUWE pori wewe.
Kwani nani hajui kama Israel ilianzz ukorofi!?
Hata sijui kwanini nakueleza haya mtu mwenyewe mpumbavu!?
 
We 🦧aliyewatuma kwenda kuua kwenye festival oct 7 nani?
Nishakwambia kale urojo ulale Nyau we.
Gaza ipi unaongea hiyo ishabebwa kitambo,
Wako Rafah huko mpakani ndugu zenu hawawataki vilevile muingie kwao.
angalia taarifa idadi ya jana toka ijumaa.
Mkishiba daku mnajiona wajaanja.
Mapunguani kweli Nyinyi
 
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
Kama wanifuatilia nimeeleza mahala kwamba kinoendelea Gaza ni mpango wa hawa watu wa magharibi na Marekani kuchukua kwa nguvu (kuiba au kupora) rasilimali iliyopo pembezoni mwa bahari ya Mediterranean ambayo ni mali ya wapalestina.

Israeli ni taifa linotumiwa (client state) kufanya kazi hiyo (ya kupora) na ndo maana kila siku huja na kauli tofautitofauti lakini lengo ni moja tu gesi asilia iliyopo hapo Gaza.

Kwa kuwa gesi ni adimu kwa sasa hivi kwamba Russia imezuia gesi kutoka Nord Stream na pia Iran nayo imezuia gesi yake kubwa, ni lazima itafutwe gesi kutoka sehemu ingine ambayo ni Gaza.

Huu ni mpango wa miaka mingi ilopita walijiwekea hivyo wamezusha hivi vita pamoja na ile ya Ukraine ili wafanye wanotaka kufanya.

Rejea hotuba ya Benjamini Netanyahu UN na pia ipo hotuba au video ya namna mpango mzima wa kujenga miundombinu kadhaa GAza itayokuwa chini ya Israeli.
 
Unadhani nahitaji ubishi wako?Weka akiba ya chakula,maji,silaha na akili ndipo uanzishe mapambano.

Vyote ninavyo.

Naanza;
Mosi, Kabla ya mwaka 1948 kulikuwa na Taifa la Uizrael ukanda wa Gaza?

Pili, Haya kama wewe ni mfuatiliaji utagundua Walihurumiwa na kupewa kipande kama Wanadamu na hao hao unaosema Wachokozi waliridhia wazo la UN kusitiri hawa watu ambao hao hao Wazungu waliowapigania wawe na kwao walitamani watoweke Ulimwenguni
(Fuatilia Hitlar alitaka kuwafanya nini na akafanya nini)

Je, kipande walichokatiwa kama Hifadhi yao, ndicho wanachokimiliki hadi sasa? kama sivyo Kwanini?

Ushabiki kwa usichokijua ni Uzwazwa.

Natawasilisha nikiwa na Nondo zaidi na zaid lakini itategemea unajibu nini maana wengine mnanakawaida ya kubisha msichokijua wala kukifuatiliaa, Twende kazi.
 
Usimezeshwe ujingaujinga na wewe ukameza tu.Israel inatamkwa na imekuwepo tangu zamani hizo na si kuanzia 1948 tu.Je,ukitulia na kujipa ukweli,hiyo Israel ilikuwa sehemu gani hapa duniani kiramani?
 
Kama wanifuatilia nimeeleza mahala kwamba kinoendelea Gaza ni mpango wa hawa watu wa magharibi na Marekani kuchukua kwa nguvu (kuiba au kupora) rasilimali iliyopo pembezoni mwa bahari ya Mediterranean ambayo ni mali ya wapalestina.

Israeli ni taifa linotumiwa (client state) kufanya kazi hiyo (ya kupora) na ndo maana kila siku huja na kauli tofautitofauti lakini lengo ni moja tu gesi asilia iliyopo hapo Gaza.

Kwa kuwa gesi ni adimu kwa sasa hivi kwamba Russia imezuia gesi kutoka Nord Stream na pia Iran nayo imezuia gesi yake kubwa, ni lazima itafutwe gesi kutoka sehemu ingine ambayo ni Gaza.

Huu ni mpango wa miaka mingi ilopita walijiwekea hivyo wamezusha hivi vita pamoja na ile ya Ukraine ili wafanye wanotaka kufanya.

Rejea hotuba ya Benjamini Netanyahu UN na pia ipo hotuba au video ya namna mpango mzima wa kujenga miundombinu kadhaa GAza itayokuwa chini ya Israeli.
Inawezekani ile wanayojenga ni oil rig na wala si bandari.
Askari karibu 1000 wametumwa kwenda kufanya kazi hiyo na ndani yake kuna mainjinia wengi.
Inashangaza sana kumbe meli na boti za kutosha zinaweza kutia nanga eneo hilo na kushusha chochote kile wao wameshikilia kujenga bandari.
 
Usimezeshwe ujingaujinga na wewe ukameza tu.Israel inatamkwa na imekuwepo tangu zamani hizo na si kuanzia 1948 tu.Je,ukitulia na kujipa ukweli,hiyo Israel ilikuwa sehemu gani hapa duniani kiramani?

Hujanijibu swali hata moja kati ya niliyokualiza.
Busara inaniongoza kusema Itoshe tu kusema kuwa hupo tayari kwa majadilianoya kupitia Hoja.

Kwaheri.
 
Waislamu hatutaki kuomba na kugaiwa .Sisi ni watu wa kufanya kazi na kula kwa jasho letu.
Waondoke wote kwenye ardhi zetu tulime na tufanye biashara halalli ili tule kwa kazi za mikono yetu.
Sawa mr TENDEgu
 
Ardhi zenu zipi wewe mswahili wa tandahimba mpuuzi kabisa
 
Back
Top Bottom