Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza. Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.
 
Muhimu ilikuwa ni kupeleka chakula watu wasife kwa njia yoyote ile na Spain wameonesha inawezekana.
Wewe unayeamini kuwa chakula kiwafikie wapalestina miezi miwili ijayo baada ya gati inayojengwa na Marekani ndiye mjinga mkubwa.
Umeshindwa kuona kuwa Marekani inaendeleza ajenda zake na za Israel kwa kisingizio cha bandari.
Siwezi kushangaa Muislam akitoa comment kama yako.. umesoma madrassa lazima muwe na akili kama zako... Missada haijawahi kukata Gaza na Bandari itarahisisha zaidi kasome kwanza why Bandari wanataka kujenga... na nini faida yake kwa siku zijazo... nani kakuambia Gaza misaada haiendi? pia wewe huna tofauti na hao wasio ridhika kwa lolote na nchi nyingi zinajuta kusaidia Gaza... ukichukua kwa hesabu tokea walipoanza kugaiwa misaada ni kufuru na hawajawahi sema Asante hata ya utani... zaidi wanamshukuru Jiwe kubwa Allah... Msaada wa Non Muslim to Muslim ni sawa na kupoteza... Saudia Arabia kasema Msaada wa Kujenga hatoi hadi aone utawala pale unaeleweka sio kutoa thhen uchokozi panabomolewa watsage of money and energy
 
Hata na wewe hujatumia akili vizuri kuwaza juu ya ujenzi wa hiyo bandari.
Kilichotakiwa ni kutoa misaada kwanza kabla kufikiria kujenga bandari bila kutoa msaada.
Mbona wanaotaka misaada ifike wameshafikisha bila hata kutumia hiyo bandari.
Hilo ndilo tulilokuwa tunalijadili.Sio umuhimu wake siku zijazo.Utampa nani misaada wakati muda huo watu watakuwa wameshakufa.
 
HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.
Nchi za kiarabu hususan Qatar na Kuwait ndio zinaongoza kupeleka misaada Gaza.
Ila Israel amekua akiiwekea vikwazo hiyo misaada mpaka kuilipua.
Au utakua hautizami taarifa za habari we jamaa??
Na Spain ni mpinzani wa Israel ukumbuke bunge la Spain lilishaweka rai ya kupiga kura kuvunja uhusiano wa diplomasia na Israel.
 
Siwezi kushangaa Muislam akitoa comment kama yako.. umesoma madrassa lazima muwe na akili kama zako... Missada haijawahi kukata Gaza na Bandari itarahisisha zaidi kasome kwanza why Bandari wanataka kujenga... na nini faida yake kwa siku zijazo... nani kakuambia Gaza misaada haiendi? pia wewe huna tofauti na hao wasio ridhika kwa lolote na nchi nyingi zinajuta kusaidia Gaza... ukichukua kwa hesabu tokea walipoanza kugaiwa misaada ni kufuru na hawajawahi sema Asante hata ya utani... zaidi wanamshukuru Jiwe kubwa Allah... Msaada wa Non Muslim to Muslim ni sawa na kupoteza... Saudia Arabia kasema Msaada wa Kujenga hatoi hadi aone utawala pale unaeleweka sio kutoa thhen uchokozi panabomolewa watsage of money and energy
Mbona unaongea utumbo mwanzo mwisho?
Mmechukua ardhi yao,mmewaekea vikwazo vya anga na bandari na kuwazunguka na mitutu.
Halafu mnawapa misaada kilazima kwa kuwafunga na hiyo misaada.
Mnataka wawashukuru kivipi??
Ondoeni blockade Gaza upande wa Anga na bahari na muwaache wawe na sovereignty yao MUONE KAMA WATAOMBA MSAADA NA WATATAKA MSAADA WENU.
MNAONGEA UTUMBO WA KIFALA FALA ILHALI MMESHIKILIA UHURU WA WATU KUJITEGEMEA??
 
Unaanzishaje fujo wakati hata uhakika wa chakula hauna?
Nani kakwambia Gaza walikua hawana uhakika wa kula??
Hawana uhakika wa kula au mmewanyima uhuru wao toka 1947 wa kujitafutia kula??
Msiwe mnaropoka tu kama mmeshiba kande.
Achieni mipaka ya bahari,anga na ardhi kesha muone kama Gaza watasumbua mtu na chochote.
Mpaka kuvua mmewawekea mipaka baharini mnatarajia watakuaje na uchumi tegemezi!?
 
Naani kaanzisha hizo fujo?

Wewe unajua fujo zimeanzia wapi, li na nani kaanza na kwa sababu gani?

Soma, soma na soma, ukishaelimika tulia sio kuropoka ka' umekunywa mataputapu.
 
pale so haina haja ya Bandari.. meli zinatofautiana na uzito

Jamaa anataka mizigo itiwe kwenye matishari kisha ifikishwe pwani kutoka meli zilizoshusha nanga mbali na ufukwe haoni umuhimu wa bandari
 
Nani kakwambia Gaza walikua hawana uhakika wa kula??
Hawana uhakika wa kula au mmewanyima uhuru wao toka 1947 wa kujitafutia kula??
Msiwe mnaropoka tu kama mmeshiba kande.
Achieni mipaka ya bahari,anga na ardhi kesha muone kama Gaza watasumbua mtu na chochote.
Mpaka kuvua mmewawekea mipaka baharini mnatarajia watakuaje na uchumi tegemezi!?
Umekisoma ulichokiandika na kukielewa?Punguza kulakula matobholwa kwa uji wa dona.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
Marekani ni mnafik anajenga gati ya kuwamaliza Wapalestina siyo kuwasaidia.
 
HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.
Una maswali ya mtego sana.
 
Back
Top Bottom