Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
Sheikh umeshachukua tende zako za msaada?Waislamu hatutaki kuomba na kugaiwa .Sisi ni watu wa kufanya kazi na kula kwa jasho letu.
Waondoke wote kwenye ardhi zetu tulime na tufanye biashara halalli ili tule kwa kazi za mikono yetu.
Siwezi kushangaa Muislam akitoa comment kama yako.. umesoma madrassa lazima muwe na akili kama zako... Missada haijawahi kukata Gaza na Bandari itarahisisha zaidi kasome kwanza why Bandari wanataka kujenga... na nini faida yake kwa siku zijazo... nani kakuambia Gaza misaada haiendi? pia wewe huna tofauti na hao wasio ridhika kwa lolote na nchi nyingi zinajuta kusaidia Gaza... ukichukua kwa hesabu tokea walipoanza kugaiwa misaada ni kufuru na hawajawahi sema Asante hata ya utani... zaidi wanamshukuru Jiwe kubwa Allah... Msaada wa Non Muslim to Muslim ni sawa na kupoteza... Saudia Arabia kasema Msaada wa Kujenga hatoi hadi aone utawala pale unaeleweka sio kutoa thhen uchokozi panabomolewa watsage of money and energyMuhimu ilikuwa ni kupeleka chakula watu wasife kwa njia yoyote ile na Spain wameonesha inawezekana.
Wewe unayeamini kuwa chakula kiwafikie wapalestina miezi miwili ijayo baada ya gati inayojengwa na Marekani ndiye mjinga mkubwa.
Umeshindwa kuona kuwa Marekani inaendeleza ajenda zake na za Israel kwa kisingizio cha bandari.
Hata na wewe hujatumia akili vizuri kuwaza juu ya ujenzi wa hiyo bandari.Siwezi kushangaa Muislam akitoa comment kama yako.. umesoma madrassa lazima muwe na akili kama zako... Missada haijawahi kukata Gaza na Bandari itarahisisha zaidi kasome kwanza why Bandari wanataka kujenga... na nini faida yake kwa siku zijazo... nani kakuambia Gaza misaada haiendi? pia wewe huna tofauti na hao wasio ridhika kwa lolote na nchi nyingi zinajuta kusaidia Gaza... ukichukua kwa hesabu tokea walipoanza kugaiwa misaada ni kufuru na hawajawahi sema Asante hata ya utani... zaidi wanamshukuru Jiwe kubwa Allah... Msaada wa Non Muslim to Muslim ni sawa na kupoteza... Saudia Arabia kasema Msaada wa Kujenga hatoi hadi aone utawala pale unaeleweka sio kutoa thhen uchokozi panabomolewa watsage of money and energy
Nakazia: UNAANZISHAJE FUJO WAKATI HATA UHAKIKA WA CHAKULA HAUNA? Hamas wapuuzi sana.Unaanzishaje fujo wakati hata uhakika wa chakula hauna?
Nchi za kiarabu hususan Qatar na Kuwait ndio zinaongoza kupeleka misaada Gaza.HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.
Mbona unaongea utumbo mwanzo mwisho?Siwezi kushangaa Muislam akitoa comment kama yako.. umesoma madrassa lazima muwe na akili kama zako... Missada haijawahi kukata Gaza na Bandari itarahisisha zaidi kasome kwanza why Bandari wanataka kujenga... na nini faida yake kwa siku zijazo... nani kakuambia Gaza misaada haiendi? pia wewe huna tofauti na hao wasio ridhika kwa lolote na nchi nyingi zinajuta kusaidia Gaza... ukichukua kwa hesabu tokea walipoanza kugaiwa misaada ni kufuru na hawajawahi sema Asante hata ya utani... zaidi wanamshukuru Jiwe kubwa Allah... Msaada wa Non Muslim to Muslim ni sawa na kupoteza... Saudia Arabia kasema Msaada wa Kujenga hatoi hadi aone utawala pale unaeleweka sio kutoa thhen uchokozi panabomolewa watsage of money and energy
Nani kakwambia Gaza walikua hawana uhakika wa kula??Unaanzishaje fujo wakati hata uhakika wa chakula hauna?
Unaanzishaje fujo wakati hata uhakika wa chakula hauna?
pale so haina haja ya Bandari.. meli zinatofautiana na uzito
Unadhani nahitaji ubishi wako?Weka akiba ya chakula,maji,silaha na akili ndipo uanzishe mapambano.Naani kaanzisha hizo fujo?
Wewe unajua fujo zimeanzia wapi, li na nani kaanza na kwa sababu gani?
Soma, soma na soma, ukishaelimika tulia sio kuropoka ka' umekunywa mataputapu.
Umekisoma ulichokiandika na kukielewa?Punguza kulakula matobholwa kwa uji wa dona.Nani kakwambia Gaza walikua hawana uhakika wa kula??
Hawana uhakika wa kula au mmewanyima uhuru wao toka 1947 wa kujitafutia kula??
Msiwe mnaropoka tu kama mmeshiba kande.
Achieni mipaka ya bahari,anga na ardhi kesha muone kama Gaza watasumbua mtu na chochote.
Mpaka kuvua mmewawekea mipaka baharini mnatarajia watakuaje na uchumi tegemezi!?
Mbele ya msosi kafir anasahauliwa.Hao Hispania si makafiri?
Marekani ni mnafik anajenga gati ya kuwamaliza Wapalestina siyo kuwasaidia.Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
Una maswali ya mtego sana.HIvi haiwezekani msaada tukawa tunapeana sisi kwa sisi? Hawa makafir wanatuletea msaada tunapokea? Si zipo nchi zetu tajiri sana na zipo vizuri kiuchumi? Hapa ndo Nachanganyikiwa. Nakuwa OVES KABISA.
Eeeh kuwamaliza wapalestina tena, c tulikubaliana Hamas wameshindaMarekani ni mnafik anajenga gati ya kuwamaliza Wapalestina siyo kuwasaidia.
Nasubiri wenzangu waje kunijibu.Una maswali ya mtego sana.
Chakula chao kina vimelea vya ushoga tutamwaga tuMbele ya msosi kafir anasahauliwa.
Fafanua.... Maana hili wakati sheikh Topeo anaelezea naye hakufafanua hata kidogo. Tukakariri tu hivyo hivyo.Marekani ni mnafik anajenga gati ya kuwamaliza Wapalestina siyo kuwasaidia.
Na wewe una chuki na Wapalestina?Una chuki na marekani kama ilivyo kwa wayahudi! Mbona marekani hujaagizwa.