Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

Haupo duniani wewe, nenda bandarini kajionee.
Acha uongo serikali yenyewe imepanic hakuna kinachoendelea Majaliwa mwenyewe kakiri maoni ya wananchi yatazingatiwa wakishakubaliana sasa inashangaza mwananchi wewe wa kawaida keyboard warrior unadanganya watu soshomidia😏
 
Unaijuwa serikali ya Tanzania au unaisikia tu?
 
Unaota.

Na hao waarabu wako zitakuwa haziwatoshi kichwani kuendelea na shughuli hapo Bandarini katika mazingira yaliyopo hivi sasa nchini.
mazingira yepi hayo? Mbona shemeji zangu wanachapa kazi hapa Tanzania sasa hivi, una team nzima ya wanasheria na Wataalaam, wapo wanaokaa palepale Hoteli yao waliouziwa zamani ya Kilimanjaro Kempinski?

Serena wamekataa kukaa, wanasema ya kishamba hii. Wameshawavua wapangaji wa Dollar 2,00 kwa mwezi huko Masaki, wao wanawalipa hao wapangaji wakatafute kwengie double. nani anakaa? Watu wanafungasha chao wanaenda kutafuta nyumba kwengine. Waarabu wanafanya kufuru sasa hivi Dar.

Watoto wa mjini wote kimya, wanalamba asali tu.

Unaowassikia kupiga kelele ni hawa wa Mbeya na Kagera huko. Tibaijuka and Company wamumizwa sana kaka yao Karamagi kuukosa ulaji.
 
Acha uongo serikali yenyewe imepanic hakuna kinachoendelea Majaliwa mwenyewe kakiri maoni ya wananchi yatazingatiwa wakishakubaliana sasa inashangaza mwananchi wewe wa kawaida keyboard warrior unadanganya watu soshomidia😏
Serikali hii ya CCM nayoijuwa mimi? Usifanye mchezo bana, serikali amabayo inategemewa Afrika nzima?

kweli upo Tanzania lakini huijuwi Tanzania. Hivi unaishi wapi wewe?
 
DP World watachukwa wao Jet ya mafuta, wanataka wafufue bomba la mafuta la Zambia na waongeze lingine la Gas. kazi iendelee.

Watu tupo Zambia na Congo nyie bado mpo Dar?
Hii hongo uliyopewa kuwatetea wajomba itakua imetuna sana.
 
Tumechelewa sana kua tunawaibia hawa

Ili uendelee lazima uweze kuwanyonya mataifa mengine

Tunatakiwa tuwaibie mafuta mengi kadri iwezekanavo
 
Bendera yetu inachezewa hovyo sijui wizara ya mambo ya nje wana lipi la kutuambia hii michezo haijaanza jana wala juzi kina mijitu inanufaika kupitia Bendera yetu.
 
DP World watachukwa wao Jet ya mafuta, wanataka wafufue bomba la mafuta la Zambia na waongeze lingine la Gas. kazi iendelee.

Watu tupo Zambia na Congo nyie bado mpo Dar?
Teh teh teh 😂😂😂 wewe 'pro-establishment' una propaganda kweli kweli.
 
Unaota.

Na hao waarabu wako zitakuwa haziwatoshi kichwani kuendelea na shughuli hapo Bandarini katika mazingira yaliyopo hivi sasa nchini.
Mazingira gani? Wabongo bana hivi unadhani watu wenye akili zao wataacha kufanya mambo ya msingi kwajili ya wajinga mnaopiga kelele?
 
Samahani hivi Meli ikisajiliwa Tanganyika,tunapata faida gani Kama nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…