Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

mazingira yepi hayo? Mbona shemeji zangu wanachapa kazi hapa Tanzania sasa hivi, una team nzima ya wanasheria na Wataalaam, wapo wanaokaa palepale Hoteli yao waliouziwa zamani ya Kilimanjaro Kempinski?

Serena wamekataa kukaa, wanasema ya kishamba hii. Wameshawavua wapangaji wa Dollar 2,00 kwa mwezi huko Masaki, wao wanawalipa hao wapangaji wakatafute kwengie double. nani anakaa? Watu wanafungasha chao wanaenda kutafuta nyumba kwengine. Waarabu wanafanya kufuru sasa hivi Dar.

Watoto wa mjini wote kimya, wanalamba asali tu.

Unaowassikia kupiga kelele ni hawa wa Mbeya na Kagera huko. Tibaijuka and Company wamumizwa sana kaka yao Karamagi kuukosa ulaji.
HAMNAZO!!!
 
Kwahiyo hizo Meli zimesajiliwa hapa Tanganyika?
 
DP World haipo wacha ndoto... tushazika bado kuanua matanga tu!
Unafikiri kile walichokijenga Kigali ni nini?

Hawapo? umelala wewe.

Wewe upeo na maono yako ni mwisho wa pua yako, DP World wanatazama miaka 100 ijayo.

Ukiwapa usiwape bandari, wana options kibao. Unaweza kona aah hawapo kumbe unaliwa huna habari, ni heri uliwe huku una habari.
 
DP world Tanzania hatuitaki na mikataba yao ya kitapeli! Hivi hao waarabu wanavyojifanya wana dini inakuaje wanakua matapeli kiasi hiki?
 
Habari wana jukwaa?

Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi.

Meli kuwa na bendera ya nchi fulani si lazima iwe mali ya nchi yenye hiyo bendera, mara nyingi bendera huwakilisha usajili wa hiyo meli...
 
Back
Top Bottom