Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

HAMNAZO!!!
 
Kwahiyo hizo Meli zimesajiliwa hapa Tanganyika?
 
DP World haipo wacha ndoto... tushazika bado kuanua matanga tu!
Unafikiri kile walichokijenga Kigali ni nini?

Hawapo? umelala wewe.

Wewe upeo na maono yako ni mwisho wa pua yako, DP World wanatazama miaka 100 ijayo.

Ukiwapa usiwape bandari, wana options kibao. Unaweza kona aah hawapo kumbe unaliwa huna habari, ni heri uliwe huku una habari.
 
DP world Tanzania hatuitaki na mikataba yao ya kitapeli! Hivi hao waarabu wanavyojifanya wana dini inakuaje wanakua matapeli kiasi hiki?
 
Habari wana jukwaa?

Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi.

Meli kuwa na bendera ya nchi fulani si lazima iwe mali ya nchi yenye hiyo bendera, mara nyingi bendera huwakilisha usajili wa hiyo meli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…