Uchaguzi 2020 Membe aenda Tume ya Uchaguzi kuhakiki fomu zake kabla ya kuziwasilisha rasmi kesho

Acha UJUHA wako wewe! Chadema mwingine aliyekosa imani na tumeccm huyu hapa.



Hahahahahhaaha chadema nao wanatoa vitisho ni hv Sheria zitafwatwa kama mmevunja sheria na taratibu za NEC au uchaguzi huyo kibaraka wa mabeberu anatolewa tu then tuone mtafanya nini sasa
Usije ukakimbilia Kenya bwashee kesho siyo mbali!
 
Tuwe wapole ndugu zangu, Mambo yote ni kesho.

Ila sisiemu nao wakifanya hila itakuwa wameonyesha uoga mkubwa sana
 
Kwani mara yake ya kwanza kuchukua fomu..? Huyo tayari ana experience ndugu..
Yaani mwanasheria ashindwe kujaza form?Mna akili timamu kweli au mmekosa mambo ya kuzungumza na mnashambulia tu hata kwa mambo yasiyo na mantiki?Kweli kujaza form iwe issue?Unajua form ya mgombea urais ndani ya chama inahakikiwa na wanasheria wangapi?Msiwe mazombie bhana!
 
Mzee wa watu mwoga wa kukatwa huyo; CCM ameishi nao miaka nenda rudi hajui wakitaka kubetua jina lake hata ahakiki form mara mia wanalinetua tu!!
 
Dini kuu!!!
[emoji2][emoji2] mnavyojipendelea!!

Kila mwenye dini anaiona yake ndio kuu, hilo lazima lieleweke
 
Kwanini chadema tu na si vyama vyote vinavyoshiriki?
 
sasa hivi naona MATAGA wote washakuwa mashabiki wa Membe... hahahaaaa!
 
Acha UJUHA wako wewe! Chadema mwingine aliyekosa imani na tumeccm huyu hapa.

View attachment 1546853
Mila na tamaduni zangu huwa sizungumzii marehemu so kwa hilo sina cha kuongea wala kusema but all in all Chadema mnataka kuona amani inapokosekana huwa kunakuwaje na nakuhakikishia hamtaweza hata kidogo
 
Hiv kwa akili yako unafikir hakuna cha kufanya hebu waulize police wa tunduma jana mini kimetokea tatizo mataga matataga sana mwaka huu
Hahahahahha kwa vurugu na maandamano ya nyuma ya keybord na keypad hapo sawa but kwenye reality sidhani kama kuna mtu yeyote anaweza leo ungeniambia CUF ile wanaweza but Chadema hahahahaha hahahah
 
Sema huna hoja acha kujibaraguza. Baba wa Taifa kafariki miaka 21 iliyopita hadi leo hii anazungumziwa itakuwa Mkapa ambaye hata miezi miwili hajatimiza!?
Chadema haijafanya chochote cha kuharibu amani bali ni huyo yesu fake na wahuni wa maccm. Waliochoma moto ofisi za Chadema kule Hai na Mbeya walikuwa ni Chadema?

Acha ujinga!

Mila na tamaduni zangu huwa sizungumzii marehemu so kwa hilo sina cha kuongea wala kusema but all in all Chadema mnataka kuona amani inapokosekana huwa kunakuwaje na nakuhakikishia hamtaweza hata kidogo
 
Hivi membe jamaniiii naye anawaza uraisi kweli,kumpigia kula membe bora nimpigie Shibuda
 
Hivi kuna watu bado wapoga ccm ? Nadhani wameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…