Uchaguzi 2020 Membe ahsante sana, karibu rasmi CHADEMA. Karibu utuvushe

Hayo hayo makapi yenu yanawatosha hata Nyerere alishasema hayo.
Si CCM anayatema CHADEMA mnayaokota. Sijui kwanini CHADEMA inashindwa kuamini vijana wake na viongozi wanaopigana usiku na mchana inaamini makapi
 
Membe for president via chadema.
 
Sema ndio itakuwa mwanzo wa mwisho wako wewe. Alafu watu kama nyie hatuwahitaji huku
Membe 2020 for presidency
Membe anataka urais tu basi. akiukosa October, atai-Lowasa kambi ya upinzani immediately!

Chadema wakimpokea ndiyo mwanzo wa mwisho wa chama!
 
Lissu ndio nani?? Kwa hiyo kwa sababu kapigwa risasi 16 basi ndio tumpe nafasi ya kugombea?? Ingekuwa hivyo 50 cent angekuwa raisi wa marekani
Lissu aendelee kula zake bata huko alipo, tunaenda na membe jasusi mbobezi
 
We sio mpinzani na hujui chochote zaidi ya kucomment utumbo. Kama unampenda sana lissu naenda kanywe nae chai
Upinzani 2020 tunaenda na membe, jasusi mbobezi
Huu utopolo washirikishe wapumbavu wenzako hapo Lumumba
 
Hongera Chadema,hongera B.Membe.
ahsanteni sana viongozi wakuu wa Cdm kwa uwamuzi wenye tija na afya kwa nchi yetu na taifa kwa ujumla.
Wembe ni uleule.
 
Suala hili linafahamika kwa uwazi bila chenga," MPANGA MAFAILI CCM ANAUSHAWISHI NA UELEWA MPANA KULIKO MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA ". Nenda Membe ukawavunje nyonga kabisa. Kazi aliyo ianzisha Lowassa haijaisha bado. Nenda Membe kaimalize. Tafadhali Membe usituangushe. Peopleeeeeeeees Powerrrrrrrrrr.
 
Wewe ni mpiga deki tu, tulia Membe atuvushe tunaojielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…