Uchaguzi 2020 Membe anajinasibu kuwa na wenzake sita ndani ya CCM

CCM inakwenda kupasuka vipande viwili kama suala hili tusipolitatua kwa wakati muafaka.
 
acha uzwazwa, nenda hata marekani kwa wazee wa demokrasia kawaulize Republican kws nini Trump hana mpinzani ndani ya chama chake wakati huu?
.... kwa hiyo ndio utaratibu? Kuhusu Republicans msome Kiranga hapo juu; yes, wapo waliojitokeza kushindana na Trump.
 
Marekani kuna Republicans wameshindana na Trump mwaka huu.

Kuna Bill Weld, Joe Walsh na Roque de la Fuente.

Kabla ya kukimbilia kuandika kuhusu Marekani, jaribu hata ku Google kwanza.

Marekani wanaweka habari zote muhimu kama hizi mitandaoni.
... zwazwa tang'ana soma hiyo na uache pumba zako. Mpeni Membe fomu acheni ujinga.
 
acha uzwazwa, nenda hata marekani kwa wazee wa demokrasia kawaulize Republican kws nini Trump hana mpinzani ndani ya chama chake wakati huu?


Unajamba mbele za watu kwa upuuzi wako. Usiongee mambo usiyoyajua
 

Hivi inawezekanaje kijana kama Polepole kuongea misemo na maneno ya kizee hivyo? Bado anaamini wananchi wanaamini sana mitazamo ya Nyerere, mpaka amtumie kama refence ya nini wananchi wanataka?
 
Kati yako mleta uzi na Membe nani anatapatapa?kama anatapatapa kwanini uhangaike kupanda jukwaani,tena kwa bando ya kukopa.
 
Kweli nyinyi CCM 6 mgombea wenu huyo mjivuni was mtama...
Membe ndo atapeperusha bendera ya ccm ngazi urais mwezi October jiwe nafsi hiyo ni pana imempwaya wanaccm turufu yetu ipo kwa membe
Mabeberu na makuwadi ndio watu gani mbona mimi sielewii, nakumbuka tukiwa kwenye vikao rasmi sikuwahi kusikia majina kama Mebeberu. TZ aisee safi sana.
Wewe kweli mtoto...yaani ktka falsafa za CCM hakuna WAITWAO MEBEBERU NA MAKUWADI...VISOME VITABU VYA MWALIMU NYERERE mfano "TUJISAHIHISHE"
MFANO WA MABEBERU NI WALE WALIOKETI BUNGENI UJERUMANI WAKAPINGA UANZWISHAJI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MWALIMU NYERERE...

MAKUWADI WA MABEBERU NI wale waliohanikiza na kushadadia sauti za mabwana wait hao mfano mmoja wapo ni mh Tundu Lissu na mh.Zitto zuberi Kabwe...
Naskia mh.Tundu Lissu anaishi Mjini Bonn Karibu na makao makuu ya REDIO YA DW ILIYOMHOJI MZEE wetu Membe mchana huu...
 
Hahaha yule bwana kiburi mjivuni na mdharau watu kutoka mtama eti anaWASALITI WENZAKE SITA NDANI YA CCM...

Ccm sio Magufuli, japo Magufuli amefanikiwa kuwahadaa baadhi ya wanaccm maslahi kuwa yeye ndio ccm. Uzuri Membe hili analifahamu vyema, ndio maana anataka ccm ibaki kama taasisi, na sio iwe genge la Magufuli.
 

Karne hii unatuletea falsafa za Nyerere za karne iliyopita!
 
Sweetie yaani huu ni mwaka wa 5 madarakani hujamzoea mh.magufuli anapenda kuchombeza utani ktka zle nondo ashushazo...yaani huyu bwana huchoki kusikiliza hotuba zake yaani mwalimu nyerere mtupuuuu

Acha kumlinganisha mwalim na vitu vya ajabu ajabu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…