Uchaguzi 2020 Membe anajinasibu kuwa na wenzake sita ndani ya CCM

Mkulungwa eee kwani SAFARI YA KUBADILIKA MAISHA INAANZA MTU AKIWA NA MTAJI WA MILIONI 10 YEYE PEKEE?!!!!
Sasa km mtu unataka kufanya BIASHARA ya MTAJI wa just KIDOGO zaidi ya hzo ztolewazo na halmashauri hapana Shaka UTAKUWA KUTOKA FEMILI ZENYE KUJIWEZA,wajomba watakukopesha nyingi utakazo.
Ha ha ha ha Obama alisema LIFE BEGINS AT FORTY...tafakari!!!

Muende watu 20 mkafuate 2m, kisha mtarajie kubadilika kimaisha?!
 
Halafu hawa mnaowaita mabeberu ndio mnawaomba mikopo na misaada mingine
 
wanasiasa wanatuweza kweli sisi wananchi wa kawaida😀😀😀😀 lowassa alisema huwezi kuzuia mafuriko na mkono mara pigeni kura kuhesabu niachieni mimi hahahahaa watu wakajaaa kweli mwisho wa siku hollaaaaa
uyu sasa kaja na ya kwake kuchangamsha uchaguzi eti ana watu sita hahahaaaa baada ya uchaguzi atakuja kusema kura hazikutosha huyu tusubiri tena uchaguzi ujao 2030
yote ya yote magufuli anatosha mambo yaliyokuwa yanalalamikiwa kwa kiasi kikubwa ameyafanyia kazi na mengine anaendelea kuyatatua viva magufuli✌✌✌✌
 
Membe na wengine wote wanaokaa kimya wakati wa kula, na kupiga kelele wakiwa na njaa siwakubali personal. Ila taratibu zetu za uchaguzi na za utawala zina kasoro kubwa , mbaya na ya kuchukiza. Na lawama zote azibebe marehemu mwl Jk . Aliliona tatizo hili , hakulirekebisha akaishia kuonya.

Katiba yetu ya msekwa 1977 ni mbaya inayoumba Asiyehojiwa wala kuwajibika kwa mtu .

Na kuhusu rasimu ya Warioba, membe wala hakuwa na Ukawa, bali alikuwa na waliosigina maoni ya wananchi (wabunge wa Ccm)
 
Ma
Ubeberu ni expanding version ya ubepari...kuwatumia watu na vyao kwa FAIDA yako huku ukiwazuia wao wahanga KUISHI VYEMA KUENDANA NA THAMANI YA WALIOKUWA NACHO NA KUWAMINYA KUJITANUA WAO KIMAENDELEO...
Nakukumbusha machache tu...mh.Magufuli alipokuja na MRADI wa iliokuwa STIGGLERS GORGE,MABEBERU walikuja juu wakitahadharisha ATHARI ZA KIMAZINGIRA....watunduizi wenye KUFIKIRI wakang'amua JANJAJANJA ya kutotaka kutuona kwanza TUNATHUBUTU kutumia Mali fedha yetu ya ndani na si MIKOPO YAO YA VITANZI VYA RIBA TELE.
Pili hawataki tuwe na umeme wa uhakika wa megawatts 2200 KATIKA kukipanda kile kilele Cha mlima ya Tanzania ya viwanda.

Janja hizo tumeshazizoea,hapa walikuwa na NGO'S zao kufundisha kupakana mafuta watoto wakiume WATEPETE wawe MADHEHA yailahi toba astaghafirullah.
 
M
kama Membe ana "dharau na kiburi sana", vipi yule aliyetuambia Watanzania kuwa uteuzi wa viongozi wa wananchi unategemea yeye kaamkaje - kwa kalio ama tumbo??!!
Mbabe MZEE wa kumeza steroids UUMUKE,hivi hamjamzoea mh.magufuli anapenda kuchomeka utani ili aeleweke kifasaha?jamaa Ana ART YA PUBLIC SPEAKING MITHILI YA MWALIMU NYERERE TOFAUTI YAO NI LAFUDHI TU,MAGUFULI ya kisukuma,baba wa taifa laini ya kimwambao
 
kweli kabisa, ana "art ya public speaking" kukizidi hichi kivuli chake...

 
sisiemu kwa sisiemu benyewe kwa benyewe banakulana, ukiona hivi basi ni ishara ya muda kufika mnyonge kujikwamua kimaisha, wagawane kuni tu kwani hamna namna
 
Nihaki kikatiba kugomea nafasi yoyote
 
***** labda nchi ya Londo,siyo TZ hii ameshakatwa mkia huyo hana makali yeyote yale.
Kwi kwi kwi nchi ya LONDO itakayotegemea KILIMO Cha UFUTA kwa Pato lao watakapojenga wizara ya UGANI pale kijijini MKOKA nachingwea
 
kweli kabisa, ana "art ya public speaking" kukizidi hichi kivuli chake...

Art kwako ni pale muongea KIINGEREZA atakapohanikiza LAHAJA ya kiskochi au Welshi...
Kwako muongea kiswahili fasaha NI yule aongea LAHAJA ya kishomvi,kimtang'ata,lakn SI pale ATAMKAPO LAHAJA ya kisukuma ama kikurya KALAGHABAHO....
WACHA NIJAMBE KIZUNGU hapa...fyooooouuuuuuuf!!
 
sisiemu kwa sisiemu benyewe kwa benyewe banakulana, ukiona hivi basi ni ishara ya muda kufika mnyonge kujikwamua kimaisha, wagawane kuni tu kwani hamna namna
Msyuuuuu yaani mnyonge kwako NI wale wasikilizao AILA ZA WANYWA FARU DUME KINA MBOWE....yaani mamayangu avaaye kaniki na t-shirt ya kijani KILA uchao aendapo shamba,ile t-shirt yenye picha ya mh.mkapa japo imetoboka haiwachi kwa sbb ya KULE KUHANIKIZA PICHA YA JEMBE NA NYUNDO....eti huyu mamangu SI mnyonge Bali WANYONGE NI wanaomsklza MBOWE Seif na Membe bambaaaaash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…